jipatie gari kwa bei poa

Jack Lee

Senior Member
Feb 23, 2011
152
65
kama unataka gari kwa bei poa inawezekana utaangalia minada ya magari live kupitia kwenye kifaa maalumu nilichokujanacho kutoka Japan,utaweza ku-bid gari wewe nyewe kupitia computer iliofungiwa kifaa hicho imaalum njoo officen ujionee ujipatie gari kwa bei poa.
 
ni hardware unaongeza kwenye computer au? kama ni software iUpload hapa hiyo kila mtu apate kuInstal,,,, :poa
 
mkuu Gadaf, hebu tuelimishe sawa sawa ni vipi hicho kifaa kinafanya kazi. Na mtu akikihitaji atakipataje?
 
Ina maana unakifunga kwenye computer una anza kuendesha kama game? Arrrrrro Gadafwi, acha utani basi!
 
Matangazo mengine bwana, ungekuwa unafanya kazi marketing kwenye kampuni yangu ningekufukuza kazi jumatatu asubuhi.
 
Kwa jinsi ilivyo mambo ya Online yanahusisha website, we tupe hiyo link watu tufungue.
Maana tunaweza kuja mpaka ofisini kwako kwa ajili ya kufuata tu link ya internet flani nayo sio poa
 
Back
Top Bottom