Jinsia mbili za kike

Rafiki yangu wa zamani ambae sasa ni mpenzi wangu ana jinsia mbili za kike.siku kadhaa kabla hatujakuta faragha na huyu msichana aliniambia kuwa yeye ana jinsia mbili za kike kwa kweli sikuamini lakini sasa nimejionea na nampongeza muumba kwa usanifu wake mkubwa....ANADAI ANAPOKUWA KWENYE SIKU ZAKE HUPATA MAUMIVU MAKALI SANA NA MWEZI INAKUWA ILE YA JUU MWEZI UNAOFUATA YA CHINI YAKE.JAMANI KUNA MWENYE WAZO KUH HII HALI?

Chum Chang
Hao wa aina hii wapo wengi duniani ... umenikumbusha huyu anafanana na wa kwako!



 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom