Jinsia mbili za kike

1) Hiyo hutokea kwa mwanamke mmoja katika kila wanawake 3000. Wengi huficha kusema kwa kuwa haziwapi shida yoyote.

2) Anaweza tengeneza fedha za haraka akiingia kwenye kazi ya "pornography".

Soma zaidi:

Two vaginas? British woman Hazel Jones discusses having uterus didelphys - HealthPop - CBS News

Born With Two Vaginas: Not So Rare - ABC News

Hazel Jones: Woman with 2 vaginas rejects $1m pornography offer | Mail Online


Nitafute tukatengeneze fedha majuu. Ni fedha nyingi tu, akizitumia vizuri, umaskini bye bye!

Wewe unaona ni dili kwakufanya uasherati kama huo kwanini wewe usiende hata kwa 0713? Uwe unatoa ushauri positive na Mungu atakubariki
 
Ziko hivi..moja iko juu kdg yaani tofauti na maumbile ya kike ya kawaida na nyengine iko kwa chini yake.na zote ziko freash moto ule ule (nilikesha nazo)


lol! una ngekewa kweli weye halafu zote ziko bomba!! dah!
 
Ambatanisha picha tukupe ushauri ulio wakweli kuliko hapa tushahuri kwa kuhisia!!Maana kama umeamua kumumwaga hapa sokoni nidhahiri huyo siyo mpenzi wako iweje mpenzi wako umtolee siri zake zandani hapa gulioni??wewe akili huna!!

duh!Mkuu Vp Tena?
Utawezaje Kukaa Na Jambo Lenye Kukupa Mashaka Na Ukahitaji Ufumbuzi Au Mdadavuo Toka Kwa Jamii Na Bado Ukalifanya Siri?

UTAFICHAJE MARADHI WAKATI MWISHO WAKE NI KUUMBUKA?.....

KAMA HUNA USHAURI WA MAANA,HAINA AJA YA DHIHAKA!!?
 
jitahidi uweke picha kaka, hii itasaidia kupata mawazo mazuri toka kwa wachangiaji

PICHA ILI IWEJE?...mbona katoa maelezo yanayoeleweka,kuwa moja iko Juu kidogo ya mwenzie.. .katika eneo lilelile la kusini ya kati!
 
Huu uzi japo ni wa matatizo lakini uko full ngwamba..
Mtoa mada na wachangiaji sijui hata wanacheza ngoma gani aisee..duh!
Nimeshindwa kuchangia zaidi ya kucheka tu...
 
anzia kwa gyno yeyote.

Kama uko Dar Prof Mgaya pale Maria Clinic karibu na mataa ya St Peter.

Kama uko Mwanza mtafute Dk. kilonzo pale bugando.

Hata ukienda hospitali kubwa kama ya mkoa au wilaya ukauliza daktari wa akina mama unampata.
anaogopa atagongewa kama doctor akiwa mwanaume.
 
tatizo ni kwamba itakuwaje zote mbili zikiwa zina hamu halafu na wewe ndio umechoka dunia ina mambohii.
 
PICHA ILI IWEJE?...mbona katoa maelezo yanayoeleweka,kuwa moja iko Juu kidogo ya mwenzie.. .katika eneo lilelile la kusini ya kati!
huyu ana matatizo huyu au hangover yaani aweke picha ya hizo roda mbili hayuko makini huyu.
 
Nimejaribu kumuuliza Dr kuhusu swala hili. Inasemekana kama mtu ana jinsia mbili ziwe za kike au za kiume anashauriwa kumuona daktari mapema. Mara nyingi kati ya jinsia hizo ni moja tu yenye uwezo wa kufanya kazi vizuri, kwa maana hiyo usifurahie kuzitumia zote na ukajiona kidume uliye na bahati ya kupata dudu 2 kwa mpigo kumbe unamuumiza mwenzio! Mpeleke hospitali fasta kama ulivyoshauriwa na wengine ukamuone dr wa wanawake.
 
Back
Top Bottom