nimejaribu kuunga laini yangu ya airtel lakini nikifika kwenye kuingiza tarehe inasema "umekosea kuingiza tarehe." nimeshindwa kuelewa format ipi nitumie. Kadi imeandikwa 05/14. Msaada tafadhali.
Mkuu piga *150*03# halafu fuata maelekezo. Laini yoyote ile.
Samahani kwa kudandia hoja ya mwenzangu, mimi naomba mwenye kufahamu namna ya kujiondoa kwenye huduma hiyo anielekeze tafadhali.