Jinsi ya kutongoza

Pata kitabu cha KAMASUTRA kitakufaa sana, Manake kama kutongoza huwezi basi hivo vingine si ndio kabisaaa!
 
una miaka mingapi?

Umeshafanya homuweki??

Mama huyo nyuma yako, rudisha simu yake haraka ukalale.
 
Ukimuona binti unayempenda mwambie moyo wangu umekudondokea nipe jibu kama na wewe moyo wako umenidondokea.
 
kwasababu alikua anashinda laboratory tu anacook ma ingredients na ma chemical X.....
 
Hivi dunia hii ya science na technolojia na ni juzi tu tumehamia digitali bado kuna watu hawana mwongozo wa nama ya kutongoza??? teh teh teh.asiyejua nadhani desa hili litakuwa na msaada sana kwake.
 
Three seconds all it takes!, U dont even need to talk if they know what tht mean and if they're interested too watakufata wenyewee!., you see someone you're attracted to, give them a 3 sec firm eye contact and then look away, they'll be curious to know what's going on/wht happened, next step will be on them if they're attracted to you too, they'll try to get in contact with you......(talking through experience hapa....and believe me, it worked!)
 
Doh!kama unataka vibuti vya shingo na ujione mwenye gundu kwenye dunia hii basi tumia huo mfumo!!!
 
natoa tuition, guarantee demu yeyote yule wa mjini, muda ni wiki mbili, nakupa mwongozo mpaka siku unakula tunda.
 
Back
Top Bottom