Jinsi ya kutongoza

Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,808
16,834
Hizi hapa hatua muhimu kabisa za kumtomgoza mwanadada ndani ya dakika chache tu atakuwa amekubali.
Mwanamke huwa navutiwa sana na mwanaume ambaye ni mkorofi kiasi fulani.

1. Hakikisha mara ya kwanza kabisa unamgusa labda kwenye bega au sehemu ambayo si ya kumdhalilisha.
2. Hapo utakua umeanzisha mazungumzo na huyo mwanadada.
3. Usimwambie ninaomba namba ya simu bali mpe simu yako na umwambie aandike namba yake kwenye simu yako.
4. Mkaribishe sehemu ya pembeni ili muweze kuongea.
5. Mguse begani mwambie amependeza sana. (msifie)
Hapo changanya na za kwako
 
hizi hapa hatua muhimu kabisa za kumtomgoza mwanadada ndani ya dakika chache tu atakuwa amekubali.
Mwanamke huwa navutiwa sana na mwanaume ambaye ni mkorofi kiasi fulani.
1. Hakikisha mara ya kwanza kabisa unamgusa labda kwenye bega au sehemu ambayo si ya kumdhalilisha.
2. Hapo utakua umeanzisha mazungumzo na huyo mwanadada.
3. Usimwambie ninaomba namba ya simu bali mpe simu yako na umwambie aandike namba yake kwenye simu yako.
4. Mkaribishe sehemu ya pembeni ili muweze kuongea.
5. Mguse begani mwambie amependeza sana. (msifie)
Hapo changanya na za kwako
Mi huwa namkonyeza mwanamke na ukope,then na smile after hapo namuacha anajiuliza maswali zaidi ya mia
badae ndio naanza kumwaga sera mdomdo.........mpaka TICK!
 
Sawa. Lakini kama kutongoza ni rahisi hivyo, mbona Einstein hakutoa formula ya kutongoza?
 
nakupa TANO! well said..haya sio mambo ya kukariri kama formula jamani.....!!hapo ni maujanja ya mtu binafsi.....
Mmmh... Mi naamini kila mtu ana namna yake ya kutongoza... Hakuna formula ya kutongoza bana...!
 
Leteni uhondo jamani tujifunze wengine domo zito humu kwa magreat thinker ndo tunapata mautundu.Mbona watakoma!!!!!!!
 
Kila mtu ana namna zake za kutongoza. Hakuna general formula ya utongozaji. mfano mimi nahitaji namba ya simu 2.. N the rest 'll be history.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wewe kwa viwango vya wadada wa mujini GAME LAKO LIPO CHINI SANAAAAA! Maybe unatongoza watoto wa kitaaa sio WADADA WA MUJINI! Mimi hapo huningoi hataaaa!

Sasa ngoja nikupe muongozo wa kumngoa mdada yeyote wa mujini bila presha!

1. Usimpe namba kwa kuitaja ili aiandike, Noooo! Mpe business card ili ajiridhishe bila shaka lolote mambo yote kuanzia title, jiofisi unalofanyia, na details zingine.
2. Business card iambatane na mwekundu au hata 2 au 3 for voucher! Ukisisitiza hutaki kumtia gharama ya kukutafuta.
3. Sehemu ya mazungumzo mwache aitaje yeye, alafu propose mahali babkubwaaa zaidi ajione kwako yeye badooo sanaaa!
4.Mkikutana usimtafute tenaa! Mskilizie tu umuone.
5. Akikutafuta ujue umewini jumla jumla na no mizinguo tena!!!

ANGALIZO
Hizi mbinu kwa wasio oa tu! We una mke jichanganye kuipa details nyumba ndogo, mkigombana unamkuta ofisini mapokezi anakungoja!!! LOLEST!!!!!!!!!!!!
 
mimi huwa nampa tu number yang halafu namwambia tukutane Lodge room number fulani tumalize mchezo..sikuhizi hakuna mirorongo ya hivyo ni kupotezeana mida tu.
 
Mhhh hivi siku hizi kuna kutongoza tena
Wakati simu, SMS, BBM, Whatsspp, Viber, yahoo messenger, facebook, and the like zimejaa tele mnaambiana maneno yote mnayopyataka
Ahhh ngoja nijifunze mbinu za uzeeni japo itakuwa too late
 
Back
Top Bottom