Jinsi ya kutongoza

natoa tuition, guarantee demu yeyote yule wa mjini, muda ni wiki mbili, nakupa mwongozo mpaka siku unakula tunda. ni PM
 
Mmmh... Mi naamini kila mtu ana namna yake ya kutongoza... Hakuna formula ya kutongoza bana...!

ni kweli kutongoza hakuna formula ndo maana hata bubu anapata mke, ana namna yake ya kutongoza bana
 
Nilichogundua ni kuwa kizazi hichi cha dot.com nicha watu wavivu sana hasa wakufikiri,wanapenda kurahisishiwa kila kitu(spoon feeding),vijana hawataki kushughulisha vichwa vyao,wamekua ni watu waku-google kila kitu,kwa mtindo huu sijui kama tutafika,hadi kutongoza imekua ni jambo la kuibua mjadala na kuchangia mawazo?so sad kwa hichi kizazi.
 
Dah! Hiyo formula labda kwa watoto kwasababu mambo ya kushikana mabega tena unaweza ukaitiwa mwz kama kuna population ya wa2

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
.. Siku hizi mbona hakuna kutongoza, uwe na fedha wenyewe wanakuja...!!

Tena wanakuuliza unataka takaje...!? sema baba, eehh..!!
unatumia nn..!!?

.. Lol..!
 
Haya maswala hayana kanuni maalum.
Kila mtoto na koja lake.
Kila shetani na Mbuyu wake.
Akili ni nywele kila mtu ana zake.
 
Wewe kwa viwango vya wadada wa mujini GAME LAKO LIPO CHINI SANAAAAA! Maybe unatongoza watoto wa kitaaa sio WADADA WA MUJINI! Mimi hapo huningoi hataaaa!

Sasa ngoja nikupe muongozo wa kumngoa mdada yeyote wa mujini bila presha!

1. Usimpe namba kwa kuitaja ili aiandike, Noooo! Mpe business card ili ajiridhishe bila shaka lolote mambo yote kuanzia title, jiofisi unalofanyia, na details zingine.
2. Business card iambatane na mwekundu au hata 2 au 3 for voucher! Ukisisitiza hutaki kumtia gharama ya kukutafuta.
3. Sehemu ya mazungumzo mwache aitaje yeye, alafu propose mahali babkubwaaa zaidi ajione kwako yeye badooo sanaaa!
4.Mkikutana usimtafute tenaa! Mskilizie tu umuone.
5. Akikutafuta ujue umewini jumla jumla na no mizinguo tena!!!

ANGALIZO
Hizi mbinu kwa wasio oa tu! We una mke jichanganye kuipa details nyumba ndogo, mkigombana unamkuta ofisini mapokezi anakungoja!!! LOLEST!!!!!!!!!!!!

Aisee....Lara 1 ktk ubora wako
 
Back
Top Bottom