klinbritetz
Senior Member
- Sep 23, 2020
- 179
- 123
Pole,Naomba kuuliza
Nilienda TRA kwa ajili ya kupata TIN number ya kampuni, baada ya kulipa rental tax na stamp duty nikaambiwa nitafute muhasibu aniandalie provisonal return statement ndo nitapata tin number pamoja na tax clearance.
Au nimpe yeye 50k aniandalie.
Naomba kujua utaratibu ulivyo maana naona kama nataka kupigwa hela.
Tanzania yetu ni rushwa.
Ingia tra portal na ufanye makadirio mwenyewe.
Ukikwama njoo kwa ushauri bure