Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,640
- 697,994
Utamu mpaka kisogonini matamu balaaa............makande na samaki......na jinsi kande zinavyoshibisha acha tu.
Utamu mpaka kisogonini matamu balaaa............makande na samaki......na jinsi kande zinavyoshibisha acha tu.
wewe una yako wewehahahahahhah yani Miss Natafuta umenifanya nicheke kwa sauti hahahahahaah
Whaaat, makande yanaliwa na binadamu? Jamani makande si ni chakula cha ng'ombe na punda?
Hivi kumbe watoto wetu wanaosoma shule za santa huko Arusha Ngalenaro wameshakuwa punga?Whaaat, makande yanaliwa na binadamu? Jamani makande si ni chakula cha ng'ombe na punda?
acha tu........yani unakula tena na tena.Utamu mpaka kisogoni
Mimi huwa sishibi makande najistukia tu kitumbo ndiacha tu........yani unakula tena na tena.
Makande yanadhoofisha kwani?Sasa naelewa kwanini wanaume wa kipare wachovu kitandani mpaka wanawake wao wamekuwa majamvi ya wageni. Poleni sana kina dada wa kipare.
Sistaa vipi umeolewa!!!sory lakini kama nitakuwa mekwazaweka carrots....nyanya ...hoho....kitunguu....na nazi.
afu pika na samaki pembeni ila samaki wa mchuzi.
Mi naona huo ni uchokozi kwa kasinde na mshana jr na werason!!Whaaat, makande yanaliwa na binadamu? Jamani makande si ni chakula cha ng'ombe na punda?
Mshana jr swali linakuhusuWaungwana,
Nina hamu na makande na ninataka kuyapika.
Je niweke vitu gani ili msosi unoge? Pia, maharagwe na mahindi nayaweka pamoja au nasubirisha kuweka maharagwe?
Kmbulu tu?WEEE usiniite kwenye makande mimi
unashangaa tu ndindindi.Mimi huwa sishibi makande najistukia tu kitumbo ndi
bado.Sistaa vipi umeolewa!!!sory lakini kama nitakuwa mekwaza
achana nae huyo...........Hivi kumbe watoto wetu wanaosoma shule za santa huko Arusha Ngalenaro wameshakuwa punga?
Hahahhh ulivyokuja kwa ukaliWEEE usiniite kwenye makande mimi
Ata mm sishibagiMimi huwa sishibi makande najistukia tu kitumbo ndi