Jinsi ya kupika makande

Sitosahau makande ya primary (Mahindi + Beans) tunachanganya na blueband ni balaa likiwa la motomoto halafu liwe rojo kiasi siyo kavu sana.

Nadhani ungesema makande ya mchanganyiko gani ndo njau.

Kuna.
1-Mahindi + Beans.
2-Mahindi+Karanga (zilizosagwa)
3-Mahindi+Njugumawe
4-Mahindi+Dengu etc

Siku ukila "mchembe" au "mbute" ndiyo utakufuru kabisa!
 
Yaani hiki chakula tuseme tu jamani, tulio wengi tunakilia shida.

Halafu dada/mama zetu, hivi mkipika, ni lazima mpike mengi? Yaani tuyale mchana, tuyale jioni na kesho tuyanywee chai duuh

😂😂😂😂 loh!

Miongoni mwa vyakula navyopenda ni kande...basi tu sijapata mtu wa kunipikia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom