BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,028
lol!!!! Hahahahahaha au wanaweza kubadili jina la mwisho na kuwa binti Tibaijuka/Rugemarila Mzee wa migao AKA Ruge anaweza akakosea na kudhani ni binti yake au binti wa mama prof akakutilia 800 million kwenye bank account akija kustuka amefanya makosa ulishafunga account siku nyingi na kusepa mji mwingine kabisa lol!!!! unakula kuku kwa mrija kwa kujidai.
Hahaha mkuu si unajua huwezi kupitiwa na mgao wa escrow kama hujawahi kuhusika na Ikulu , wizara , BOT au kama hujawahi kajichanganya anga za Ruge.