Jinsi ya kupata mume wa maana, mwenye maisha mazuri Bongo hii

lol!!!! Hahahahahaha au wanaweza kubadili jina la mwisho na kuwa binti Tibaijuka/Rugemarila :):) Mzee wa migao AKA Ruge anaweza akakosea na kudhani ni binti yake au binti wa mama prof akakutilia 800 million kwenye bank account akija kustuka amefanya makosa ulishafunga account siku nyingi na kusepa mji mwingine kabisa lol!!!! unakula kuku kwa mrija kwa kujidai.

Hahaha mkuu si unajua huwezi kupitiwa na mgao wa escrow kama hujawahi kuhusika na Ikulu , wizara , BOT au kama hujawahi kajichanganya anga za Ruge.
 
wESI UMESEMA KAMA WORTH IT UNAFUGA? Hahahahaaaaaaaaa!

Ndio kama wotrthit!!'Kama!as if huyo wa kufugwa ni mzigo!!Maisha haya ni kufugana ili usinyanyasike!!Ila kila mtu ana uhuru wa kuish apendavyo!!
 
Mmmh eve mi sijaelewa. Umesema kwa ekspiriens yako wadada decent ndo huwa wanaumizwa. Na hapa unasema u r not na hujawahi kuwa decent....af moyo wako uko nyang'anyang'a kwa maumivu...imekuwaje umeumizwa tena wakati sio type ya wale waumizwao?? Ungesema zamani ulikuwa decent na sasa hivi umeamua kuwa kauzu kutokana na maumivu ningekuelewa ila ulivyosema JUJAWAHI ndo umenimix kabisaa....
Hahaha msome vizuri utamuelewa...... Hajawahi kuwa decent huyo , she is always a bad ass girl.
 
Hilo la Lucy halikukufanya ufikirie kufuata her way?

Weweeeeeeeee! LUCY KWA AMU NI AMATEUR KABISAAAAA! Achana na Amu kabisaaaaa! Ukisikia Master Mind, wachina wanamuita SHIVOOOOOOOOO AU SHIFUUUUUUU sijui ndo huyu bibie.
 
interesting discussion here....goodluck to all men and women on the prowl..you surely need it
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ndio kama wotrthit!!'Kama!as if huyo wa kufugwa ni mzigo!!Maisha haya ni kufugana ili usinyanyasike!!Ila kila mtu ana uhuru wa kuish apendavyo!!

Hahahaaaaaaaaaaaa! THIS IS WHAT I LIKE ABOUT YOU! HONESTY! We fuga tuuu ITS A FREE COUNTRY! Unachoniboa ni kumchkea mtu anae enda Akemi kuvua minyangumi, as if huko kufuga mabwana makes you so much better than them! Wakati wenzio wanafata itifaki, mwanaume ale kwa jasho lake, hata kama wala kwa jasho wako Osaka tutakula japanese dishes mpaka kieleweke, ni Sushi kwa kwenda mbele tu. Just because una mfugo home dont point fingers.:becky:! Either way life fu.cks us all!:becky:
 
lol!!!! Hahahahahaha au wanaweza kubadili jina la mwisho na kuwa binti Tibaijuka/Rugemarila :):) Mzee wa migao AKA Ruge anaweza akakosea na kudhani ni binti yake au binti wa mama prof akakutilia 800 million kwenye bank account akija kustuka amefanya makosa ulishafunga account siku nyingi na kusepa mji mwingine kabisa lol!!!! unakula kuku kwa mrija kwa kujidai.

Ndiyo alichokuwa anakifikisha mleta mada ila ndiyo akavurugaa alipoingiza ishu ya online dating na kubadilisha mada kuwa ya uwindaji wa wazungu.
Hahaha na mimi sasa hivi ngoja nianze kujipendekeza viwanja vya yule kaka yangu mwanasheria wa mafisadi nipate michongo ya maana japo hapo kabla nilishajitenga naye kwasababu ya dharau zake.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahaaaaaaaaaaaa! THIS IS WHAT I LIKE ABOUT YOU! HONESTY! We fuga tuuu ITS A FREE COUNTRY! Unachoniboa ni kumchkea mtu anae enda Akemi kuvua minyangumi, as if huko kufuga mabwana makes you so much better than them! Wakati wenzio wanafata itifaki, mwanaume ale kwa jasho lake, hata kama wala kwa jasho wako Osaka tutakula japanese dishes mpaka kieleweke, ni Sushi kwa kwenda mbele tu. Just because una mfugo home dont point fingers.:becky:! Either way life fu.cks us all!:becky:

What what!!labda sijaelewa kufuga ni nini maana yake??Huwezi ukawa unanilazimisha fact au kitu amabacho sifanyi kisa nimegoma kwenda kutega tajiri Akemi!
 
Mmmh eve mi sijaelewa. Umesema kwa ekspiriens yako wadada decent ndo huwa wanaumizwa. Na hapa unasema u r not na hujawahi kuwa decent....af moyo wako uko nyang'anyang'a kwa maumivu...imekuwaje umeumizwa tena wakati sio type ya wale waumizwao?? Ungesema zamani ulikuwa decent na sasa hivi umeamua kuwa kauzu kutokana na maumivu ningekuelewa ila ulivyosema JUJAWAHI ndo umenimix kabisaa....
Ekspirience ni lazma niwe mie? mweh make hiki kizungu nacho tena kama hujalewa ni sheeda....
nshashuhudia mashost decents wenye tru lavu wakiumizwa hadi najiuliza hivi wanaume hawawanei huruma hao angels....
mi sijawahi kuwa decent ningekua means nami ngekua nshaumizwa sana pia...kwa kua sijawahi kua decent moyo haupo nyang'a vimaumivu vya mapenzi vipo vya kawaida tu sababu ya wivu wivu mie na aljandro wangu
 
Hahaa nimekusoma vema na kaka yako kanisaidia....kutokuelewa kwangu kulikuwa ni hapo kwenye moyo kuwa nyang'anyang'a
 
If its worthyit nafuga tuu...

What what!!labda sijaelewa kufuga ni nini maana yake??Huwezi ukawa unanilazimisha fact au kitu amabacho sifanyi kisa nimegoma kwenda kutega tajiri Akemi!

What what nini? SIO QUOTE YAKO HIO UKIKUBALI KUWA WEWE NI PASTORALIST? Jikane basi maana nimezama kuivua mpaka page 10! Kitu hufanyi afu umendika ukikiri kwa mkono wako unafanya? ni kwamba umesahau ama?

SHOGAAA KULIKO KUWA PASTORALIST ZAMA HIZI UNLESS UNAKASORO KUBWA SANAA YA KIMAUMBILE BORA TU UAKWINDE ! Hahahahaaaaaaaaaa! u pastoralist zama hizi? Mungu epushia mbali!:becky:
 
Ha ha ha!jamanii nacheka mpaka! Unajua maana ya neno if!haya nimeshindwa mie!nafugaaa tena wa kienyeji!
 
Inawezekana na.mie nlikuwa njia moja na yeye

Kila mtu alikuwa na target zake.
Na mie nlikuwa na zangu na nimeziachieve.

Shogaaaaa SERVANT QUARTER YA OBAY BADO IPO AU ISHAPATA MTU? Mwaka 2015 sitaki kabisaaa kufanya usengerema! Katiba ya mwongozo ndo kama hii ishatoka, na mie nimeisoma neno hadi neno na kui print kabisaaa kilichobaki utekelezaji. Kama hio servant quater haina mtu niunganishie mie, niko tayari kuspend 100% ya earning zangu kwenye accomodation ya hio servant quarter maana kazi yenyewe sina. Navoumwa hivi nispokomaaa napotea. Mi nataka wabongo tu wenye MIHELA YAO. Magovinder kumar wa kizungu kidogo bado najipanga huwezi kupaa kabla ya kutembea.

Kuna mchina nilimuibua juzi kati, nae nimemnawaaa mambo yake yalinishinda kuzunguka usiku kucha mwenyewe mgonjwa! ila naendelea nautekelezaji.:becky::becky::becky:! Kuna MPOPO mmoja naunganishiwa na shoga yangu, sijui zungu la unga yule, anamwaga hela kama chizi karogwa tenaa, sema nikifikiria wana MIDUSHE YA HATARI nachoka mwili na roho! Maana nikimcheki tu kwa juu anaonekana ni naturally ENDOWED! Tobaaaaaaaaa! Kazi ipo. Najikongoja shogaaa! ALUTA CONTINUAAA!
 
  • Thanks
Reactions: amu
wanawake wa kitanzania ni tofauti kabisa na afrika ya magharibi..
na haya ndio mawazo ya kinadada walio wengi hapo Tz

Si umeona kwenye story hapo WAPOPO wamekimbiwa huko DEIRA! Hahahahaaaaaaaaaaa! Chezea CARGO businesss!
 
Usiongeleee vitu CIRCUMSTANTIAL, kwenye hii issue PRICE IF A FUNCTION OF MANY THINGS! LUCK, SACRIFICE, DETERMINATION, AMBITION, ETC. Hamna LINEAR FUNCTION USEME PRICE NI HII, RESULT NI HII. NDO MAAANA NIKASEMA HATA WALIOLEWA KABLA YA MANGE WHERE IS THEIR HAPPY ENDING?

Na why insinuate Mange alilipa a price! THOSE ARE YOUR THOUGHTS REFUSING TO RECOGNISE MANGES GOOD LUCK. Haahahaaaa! Ndo maana unamuhisia mambo mengiii yasiyo na ushahidi. SOME PEOPLE ARE JUST BORN LUCKY. Mi kuna mtu namjua alikutana na mzungu CLUB tena Bills, yupo Swiss sahivi, kapata a very good man. Yupo mwingine Aisha, alikunata na mzungu chuo, mzungu mzuri hatari wa exchange program pale UD, sahivi wameoana juzi yupo German ana makaratasi yake. Anampelekesha mzungu balaaa. Mpaka kamsilimisha. SOME PEOPLE ARE JUST BORN LUCKY.

BABYLON NI KU GO BEYOND YOUR LIMITS. GETTING OUT OF THE VICIOUS CYCLE OF POVERTY, CHALLENGING YOUR FATE AND SUCCEEDING:becky:.

Motive ya kuandika haya ni wana u turn walimuomba mno mno mno more than a year atoe somo hili. Marshalllah leo katoa.

And I say Amen to this,nishapata account yangu match.com,2015 itakuwa ya maajabu, asante uturn
 
Back
Top Bottom