jinsi ya kumpagawisha mwanaume

Mademu wanaojifanya ni wataalam wa kuelezea, kunako bed hamna kitu. Niliwahi opoa mmoja, tukiwa bado maeneo ya starehe mbwembwe zilikuwa nyingi saaaaaaaaaaaaana. Akushike, akubusu, baby nyiiiiiiiiiiingi, hizi zote ziliisha alipoingia rum. Kam gogo vile tena anakuna na nywele busy, hana tyme na kinachoendelea. So maneno si matendo.

Mwenzio alikuwa kibiashara zaidi.
Unataka akuoneshe maufundi ili umgande wakati kuhonga kwenyewe hamhongi!
 
Mademu wanaojifanya ni wataalam wa kuelezea, kunako bed hamna kitu. Niliwahi opoa mmoja, tukiwa bado maeneo ya starehe mbwembwe zilikuwa nyingi saaaaaaaaaaaaana. Akushike, akubusu, baby nyiiiiiiiiiiingi, hizi zote ziliisha alipoingia rum. Kam gogo vile tena anakuna na nywele busy, hana tyme na kinachoendelea. So maneno si matendo.

njoo ujaribu kwangu
 
ladies plz hebu tupeane uzoefu ni mbinu gsni ambazo zinamfanya umpendae apagawe juu yako.

mi kwanza huwa sipendi kutulia yaani naanzisha game popote pale hata kama ni kwenye halaiki nitatsfuta njia tu ili ajue kua nataka tamu. yaani hii humfanya anyegeke na awe na hamu na mm mara kwa mara. yy huwa ananiambia G mtundu sana ww unanifanya niwe na hamu na ww muda wote.

kama yupo kaxini basi nitahakikisha namtumia sms na vipicha vya kimahaba ilimrad tu kuamsha hisis zake.. hii imetusaidia tumekua karibu sana.

tukija faragha sasa. hahaa mtoto wa kike najituma mpaka basi yaaani msujuzi yote nayaaply mpaka kanivulia kofia..

so akina mama tujitahidi tuwe wabunifu na mawasiliano yawepo. unapenda kitu mwambie na kama hupendi mwmbie usifanye tu kutimiza wajibu u will be happy...

plz share some tips zenu nipate maufundi mapya..

thx.
Nimekosea jukwaa
Samahani nielekezeni jukwaa la businee forum!!!
 
hapana keroo,
yanini kujibanabana kama bikira?
Babu najiachia atumie tundu atakazo.
Nimepewa bure,nami namgawiya bure.
Uongo uongo??

madam b bwana. sasa si nitakuwa na msururu?
 
Kama hashei Ofisi na mtu, mfuate ukampe cha ufisini!

Mcheleweshe kazini mara moja moja!

Mtegeshee ukiwa unadeki chumbani kwenu, usiwe umevaa lijichupi lkn!

Kukiwa na wageni nyumbani, muite chumbani as if kuna kitu serious; mchojoe na kummyonya kidogo; then mrudi mkawaattend wageni. (cha wizi hicho).

Inatosha, (mume wangu yuko humu humu)! LOL
Ila usisahau kuikalia mkiwa nje kwenye balcon usiku taa zikiwa zimezimwa!
bad girls most of the time are always sweet kwakweli ,huwezi kumchoka ,huwezi kuishiwa hamu naye lol!
 
Hapo umenena kaunga!! Ndoa inajengwa na mapenzi yaliyopo baina ya mke na mume, hasa ngono! Cha ajabu mkiwa wachumba utapata haya yote, lakini ukishamuoa haya mambo ni kushnei! Yaani hata ukimuambia dear mbona umebadilika sio Kama enzi zile?? It doesn't help, tunaogopa kucheat kwa sababu ya magonjwa na si vinginevyo.
 
ladies plz hebu tupeane uzoefu ni mbinu gsni ambazo zinamfanya umpendae apagawe juu yako.

mi kwanza huwa sipendi kutulia yaani naanzisha game popote pale hata kama ni kwenye halaiki nitatsfuta njia tu ili ajue kua nataka tamu. yaani hii humfanya anyegeke na awe na hamu na mm mara kwa mara. yy huwa ananiambia G mtundu sana ww unanifanya niwe na hamu na ww muda wote.

kama yupo kaxini basi nitahakikisha namtumia sms na vipicha vya kimahaba ilimrad tu kuamsha hisis zake.. hii imetusaidia tumekua karibu sana.

tukija faragha sasa. hahaa mtoto wa kike najituma mpaka basi yaaani msujuzi yote nayaaply mpaka kanivulia kofia..

so akina mama tujitahidi tuwe wabunifu na mawasiliano yawepo. unapenda kitu mwambie na kama hupendi mwmbie usifanye tu kutimiza wajibu u will be happy...

plz share some tips zenu nipate maufundi mapya..

thx.
Waafrika kazi tunayo! Badala ya kufanya mambo ya maana, nyie kila wakati mnawaza chini tu. Kama hali ndiyo hivyo maendeleo mtayapataje?
 
bad girls most of the time are always sweet kwakweli ,huwezi kumchoka ,huwezi kuishiwa hamu naye lol!

It takes two to tango unajua, sasa wewe ukiwa good boy unategemeaje? Wote muwe vichaa mkiwa peke yenu mbehave mbele za watu, lkn tengenezeni sign language zenu hata common maneno lkn yawe na maana mnayoilewa ninyi tu!
 
Waafrika kazi tunayo! Badala ya kufanya mambo ya maana, nyie kila wakati mnawaza chini tu. Kama hali ndiyo hivyo maendeleo mtayapataje?

So George wewe unafanya maendeleo kwa kutembelea MMU?
Haya hayo maendeleo ambayo unataka tuyafanya mwisho wake nini?
Tukienda Mars, mwisho wa siku ni nini?
Uwe na makampuni kama Bill Gates omwisho wa siku nini?
Acha watu wajadili namna ya kuboresha ndoa zao, wewe nenda jukwaa na tech na science, biashara au great thinkers uka make ma new innovation ili dunia iwe better place kwa watoto tunaowatengeneza!
 
It takes two to tango unajua, sasa wewe ukiwa good boy unategemeaje? Wote muwe vichaa mkiwa peke yenu mbehave mbele za watu, lkn tengenezeni sign language zenu hata common maneno lkn yawe na maana mnayoilewa ninyi tu!

ha ha ha ha! siku hizi hata sign kama hazisomeki kuna kitu meseji kwenye simu.
acha watu tuyale maisha ,cha maana raia pembeni wasigundue tu.
 
kazi kweli unaweza pagawaishwa na mwanamke kwa ngono tu? kuna mengi yanaioweza kumfanya mwanaume apagawe
1. uaminifu 2. heshima 3. utii 4. usafi
mimi huwa naona ni bora sana na sikunipagawisha kwa mwili wake tu
 
Back
Top Bottom