jinsi ya kumpagawisha mwanaume

ladies plz hebu tupeane uzoefu ni mbinu gsni ambazo zinamfanya umpendae apagawe juu yako.

mi kwanza huwa sipendi kutulia yaani naanzisha game popote pale hata kama ni kwenye halaiki nitatsfuta njia tu ili ajue kua nataka tamu. yaani hii humfanya anyegeke na awe na hamu na mm mara kwa mara. yy huwa ananiambia G mtundu sana ww unanifanya niwe na hamu na ww muda wote.
tatitzo mapenzi ya tamthilia yanawaafect wengi wenu
kama yupo kaxini basi nitahakikisha namtumia sms na vipicha vya kimahaba ilimrad tu kuamsha hisis zake.. hii imetusaidia tumekua karibu sana.

tukija faragha sasa. hahaa mtoto wa kike najituma mpaka basi yaaani msujuzi yote nayaaply mpaka kanivulia kofia..

so akina mama tujitahidi tuwe wabunifu na mawasiliano yawepo. unapenda kitu mwambie na kama hupendi mwmbie usifanye tu kutimiza wajibu u will be happy...

plz share some tips zenu nipate maufundi mapya..

thx.
tatizo wengi wenu mnaakua affected na mapenzi ya tamthilia yanawaafect kila cku
 
kazi kweli unaweza pagawaishwa na mwanamke kwa ngono tu? kuna mengi yanaioweza kumfanya mwanaume apagawe
1. uaminifu 2. heshima 3. utii 4. usafi
mimi huwa naona ni bora sana na sikunipagawisha kwa mwili wake tu

You sound like a bossy husband.
Mtoa mada alispecify kwenye mambo ya intimacy tu, ingekuwa juu ya mahusiano ya mume na mke nafikiri title ingesomeka kama "namna ya kuishi maisha bora ya ndoa".

So kwa mada ya mtoa mada, hayo mambo 4 na zaidi tunassume yamekuwa taken care of.
 
So George wewe unafanya maendeleo kwa kutembelea MMU?
Haya hayo maendeleo ambayo unataka tuyafanya mwisho wake nini?
Tukienda Mars, mwisho wa siku ni nini?
Uwe na makampuni kama Bill Gates omwisho wa siku nini?
Acha watu wajadili namna ya kuboresha ndoa zao, wewe nenda jukwaa na tech na science, biashara au great thinkers uka make ma new innovation ili dunia iwe better place kwa watoto tunaowatengeneza!
Punguza ukali mama mkwe, ukweli kidogo tu unakua mkali namna hiyo.
 
Mademu wanaojifanya ni wataalam wa kuelezea, kunako bed hamna kitu. Niliwahi opoa mmoja, tukiwa bado maeneo ya starehe mbwembwe zilikuwa nyingi saaaaaaaaaaaaana. Akushike, akubusu, baby nyiiiiiiiiiiingi, hizi zote ziliisha alipoingia rum. Kam gogo vile tena anakuna na nywele busy, hana tyme na kinachoendelea. So maneno si matendo.

...mmmmmh jicheki vizuri, kuna kitu labda ulifanya, au harufu yako mf kwapa au kauli lazima ulimshusha stimu tu....au ...........
 
ladies plz hebu tupeane uzoefu ni mbinu gsni ambazo zinamfanya umpendae apagawe juu yako.

mi kwanza huwa sipendi kutulia yaani naanzisha game popote pale hata kama ni kwenye halaiki nitatsfuta njia tu ili ajue kua nataka tamu. yaani hii humfanya anyegeke na awe na hamu na mm mara kwa mara. yy huwa ananiambia G mtundu sana ww unanifanya niwe na hamu na ww muda wote.

kama yupo kaxini basi nitahakikisha namtumia sms na vipicha vya kimahaba ilimrad tu kuamsha hisis zake.. hii imetusaidia tumekua karibu sana.

tukija faragha sasa. hahaa mtoto wa kike najituma mpaka basi yaaani msujuzi yote nayaaply mpaka kanivulia kofia..

so akina mama tujitahidi tuwe wabunifu na mawasiliano yawepo. unapenda kitu mwambie na kama hupendi mwmbie usifanye tu kutimiza wajibu u will be happy...

plz share some tips zenu nipate maufundi mapya..

thx.

Biashara matangazo.
Kizuri chajiuza; Kibaya Chajitembeza.
Huna lolote mzushi tu,
Unataka upate nyamaume toka JF;
Kwa nini huendi katika LUVCONNECT.​
Bazazi
Nimesema!
 
Mmmmmmmmmmh! I see! Japo sitaki kujibu manake hizi ni SIRI ZA BIASHARA ila ngoja nijibu tu.

1.Mbinu yangu ya kwanza huwa sipendi KUWE NA TIME TABLE!!!!! Hell No! Yaani ajue wiki hii kuna mechi 3, zitachezwa oldtrafold, Emirates na Anfield. Hakuna biashara kama hiyo!!!! Mambo ni suprise tu.

2. Funguo ninayo, nawahi mwenyewe, nasafisha afu nachojoa viwalo vyote, naoga afu najitupa kwenye 6*6 nazuga na novel ya SYDNEY SHELDON!!! Mdogo mdogo nasubiri arudi. ( Noma kna siku alirudi na Maza wake, afu maza anapenda kukagua kila kona, NILIZAMAJE UVUNGUNI FASTA!!!!!! Hatari! Surprise zingine nomaaa!)

3.Nyingine ni design za KABA KOO, mtu yupo busy na Match au TV we umelala mwenyewe unangoja aje, Nainuka na khanga naenda kunywa maji ya Uongo, khanga inadondoka mbele yake siiokoti naendelea na safari. Lazima aje.(Tatizo akisikia GOOOOOOOOOO!!!! Anastopisha game ya huku na kwenda kuchungulia nani kafunga? Nani?)

4.Nikiona amenuna kama COBRA almanusura kupasuka, NAMPOOZA KIDOGO manaake hawakawii hawa!

5. Namtext tu kazini leo ukitoka pitia hapa hotelini chumba namba 3, baasi wee masaa yanakuwa hayaendi.

Kwa mwendo huu utapata chochote unachotaka..kwa kifupi you will enjoy chopping money
 
asante, hatuwezi wote kuwa akina Newton.

So George wewe unafanya maendeleo kwa kutembelea MMU?
Haya hayo maendeleo ambayo unataka tuyafanya mwisho wake nini?
Tukienda Mars, mwisho wa siku ni nini?
Uwe na makampuni kama Bill Gates omwisho wa siku nini?
Acha watu wajadili namna ya kuboresha ndoa zao, wewe nenda jukwaa na tech na science, biashara au great thinkers uka make ma new innovation ili dunia iwe better place kwa watoto tunaowatengeneza!
 
Mavitu zenu hizo na gfsonwin nikajiuliza mko wapi? Niliona kunapwaya ndio maana nikatupiemo tumaneno tuwili tutatu!

ah wala hujatuangusha mwali!UMEFUNGUKA MBAYA!
ila mi mkwara wangu huwa unaanzaga na tangazo la menu yani menu yangu ya dinner huwa inaeleza mchakato wa siku hiyo utakuwa tyt kiasi gani!
mamangu aliwahi kuniambia mwanaume hushikwa akili kupitia tumbo na macho yake!
 
Hizi topic zenu zitavunja ndoa za watu,wenyewe washajizoelea game mara 1 au 2 kwa wiki,tena hadi usiku watoto wakishalala,round 1 tu ili wasichoshane sana,sasa mtu akishawasoma wakina lara1 akayapeleka nyumbani kwake ili akafanye madadiliko afu ikashindika ndo anajikuta anaanza kuwa na kazi za nje

bila kusahau kuulizwa nani kakufundisha hiyo ni fulani anayemhisi au wa hapo zamani za kale
 
Back
Top Bottom