jinsi ya kumpagawisha mwanaume

Mmmmmmmmmmh! I see! Japo sitaki kujibu manake hizi ni SIRI ZA BIASHARA ila ngoja nijibu tu.

1.Mbinu yangu ya kwanza huwa sipendi KUWE NA TIME TABLE!!!!! Hell No! Yaani ajue wiki hii kuna mechi 3, zitachezwa oldtrafold, Emirates na Anfield. Hakuna biashara kama hiyo!!!! Mambo ni suprise tu.

2. Funguo ninayo, nawahi mwenyewe, nasafisha afu nachojoa viwalo vyote, naoga afu najitupa kwenye 6*6 nazuga na novel ya SYDNEY SHELDON!!! Mdogo mdogo nasubiri arudi. ( Noma kna siku alirudi na Maza wake, afu maza anapenda kukagua kila kona, NILIZAMAJE UVUNGUNI FASTA!!!!!! Hatari! Surprise zingine nomaaa!)

3.Nyingine ni design za KABA KOO, mtu yupo busy na Match au TV we umelala mwenyewe unangoja aje, Nainuka na khanga naenda kunywa maji ya Uongo, khanga inadondoka mbele yake siiokoti naendelea na safari. Lazima aje.(Tatizo akisikia GOOOOOOOOOO!!!! Anastopisha game ya huku na kwenda kuchungulia nani kafunga? Nani?)

4.Nikiona amenuna kama COBRA almanusura kupasuka, NAMPOOZA KIDOGO manaake hawakawii hawa!

5. Namtext tu kazini leo ukitoka pitia hapa hotelini chumba namba 3, baasi wee masaa yanakuwa hayaendi.

asante lara.. mi vya surprise hua vinaniuan haswa vya ndani ya gari.. uuh..
 
ladies plz hebu tupeane uzoefu ni mbinu gsni ambazo zinamfanya umpendae apagawe juu yako.

mi kwanza huwa sipendi kutulia yaani naanzisha game popote pale hata kama ni kwenye halaiki nitatsfuta njia tu ili ajue kua nataka tamu. yaani hii humfanya anyegeke na awe na hamu na mm mara kwa mara. yy huwa ananiambia G mtundu sana ww unanifanya niwe na hamu na ww muda wote.

kama yupo kaxini basi nitahakikisha namtumia sms na vipicha vya kimahaba ilimrad tu kuamsha hisis zake.. hii imetusaidia tumekua karibu sana.

tukija faragha sasa. hahaa mtoto wa kike najituma mpaka basi yaaani msujuzi yote nayaaply mpaka kanivulia kofia..

so akina mama tujitahidi tuwe wabunifu na mawasiliano yawepo. unapenda kitu mwambie na kama hupendi mwmbie usifanye tu kutimiza wajibu u will be happy...

plz share some tips zenu nipate maufundi mapya..

thx.

Mh!!! Hivi kumbe na sisi tunapagawishwaga.....
 
Itakuaje kama kunamwenzako nje anampa 0713... Je unadhani atadata kwako.? Mwanaume ukimwambia habari za kukugonga anakuja tu kukupelekea. But kuhusu anayemdatisha anamjua mwenyewe moyoni mwake.
 
Itakuaje kama kunamwenzako nje anampa 0713... Je unadhani atadata kwako.? Mwanaume ukimwambia habari za kukugonga anakuja tu kukupelekea. But kuhusu anayemdatisha anamjua mwenyewe moyoni mwake.

i know him very well. yy pia hafagilii
 
Hii mada ikipelekwa jukwaa la kikubwa nitafunguka ipasavyo. Hapa nitakula ban takatifu Graca

BJ
 
Last edited by a moderator:
Kama hashei Ofisi na mtu, mfuate ukampe cha ufisini!

Mcheleweshe kazini mara moja moja!

Mtegeshee ukiwa unadeki chumbani kwenu, usiwe umevaa lijichupi lkn!

Kukiwa na wageni nyumbani, muite chumbani as if kuna kitu serious; mchojoe na kummyonya kidogo; then mrudi mkawaattend wageni. (cha wizi hicho).

Inatosha, (mume wangu yuko humu humu)! LOL
Ila usisahau kuikalia mkiwa nje kwenye balcon usiku taa zikiwa zimezimwa!
 
Back
Top Bottom