jinsi ya kumpagawisha mwanaume

Graca

JF-Expert Member
Apr 24, 2011
471
152
ladies plz hebu tupeane uzoefu ni mbinu gsni ambazo zinamfanya umpendae apagawe juu yako.

mi kwanza huwa sipendi kutulia yaani naanzisha game popote pale hata kama ni kwenye halaiki nitatsfuta njia tu ili ajue kua nataka tamu. yaani hii humfanya anyegeke na awe na hamu na mm mara kwa mara. yy huwa ananiambia G mtundu sana ww unanifanya niwe na hamu na ww muda wote.

kama yupo kaxini basi nitahakikisha namtumia sms na vipicha vya kimahaba ilimrad tu kuamsha hisis zake.. hii imetusaidia tumekua karibu sana.

tukija faragha sasa. hahaa mtoto wa kike najituma mpaka basi yaaani msujuzi yote nayaaply mpaka kanivulia kofia..

so akina mama tujitahidi tuwe wabunifu na mawasiliano yawepo. unapenda kitu mwambie na kama hupendi mwmbie usifanye tu kutimiza wajibu u will be happy...

plz share some tips zenu nipate maufundi mapya..

thx.
 
Samahani kama hujaolewa naomba contact ili njionee mwenyewe hayo maujuzi.
 
romantic chats play an important role to provoke sexual ……
 
ladies plz hebu tupeane uzoefu ni mbinu gsni ambazo zinamfanya umpendae apagawe juu yako.

mi kwanza huwa sipendi kutulia yaani naanzisha game popote pale hata kama ni kwenye halaiki nitatsfuta njia tu ili ajue kua nataka tamu. yaani hii humfanya anyegeke na awe na hamu na mm mara kwa mara. yy huwa ananiambia G mtundu sana ww unanifanya niwe na hamu na ww muda wote.

kama yupo kaxini basi nitahakikisha namtumia sms na vipicha vya kimahaba ilimrad tu kuamsha hisis zake.. hii imetusaidia tumekua karibu sana.

tukija faragha sasa. hahaa mtoto wa kike najituma mpaka basi yaaani msujuzi yote nayaaply mpaka kanivulia kofia..

so akina mama tujitahidi tuwe wabunifu na mawasiliano yawepo. unapenda kitu mwambie na kama hupendi mwmbie usifanye tu kutimiza wajibu u will be happy...

plz share some tips zenu nipate maufundi mapya..

thx.

TeGo vipi? unamuachia?
 
.....na mkisha chat up to the threshold level, mara mtakapokutana, mwenyewe utajua ni nini kifuatacho itv

yaani kwanza mi nakua tayari nipo level inginee kabisaa..
 
Mmmmmmmmmmh! I see! Japo sitaki kujibu manake hizi ni SIRI ZA BIASHARA ila ngoja nijibu tu.

1.Mbinu yangu ya kwanza huwa sipendi KUWE NA TIME TABLE!!!!! Hell No! Yaani ajue wiki hii kuna mechi 3, zitachezwa oldtrafold, Emirates na Anfield. Hakuna biashara kama hiyo!!!! Mambo ni suprise tu.

2. Funguo ninayo, nawahi mwenyewe, nasafisha afu nachojoa viwalo vyote, naoga afu najitupa kwenye 6*6 nazuga na novel ya SYDNEY SHELDON!!! Mdogo mdogo nasubiri arudi. ( Noma kna siku alirudi na Maza wake, afu maza anapenda kukagua kila kona, NILIZAMAJE UVUNGUNI FASTA!!!!!! Hatari! Surprise zingine nomaaa!)

3.Nyingine ni design za KABA KOO, mtu yupo busy na Match au TV we umelala mwenyewe unangoja aje, Nainuka na khanga naenda kunywa maji ya Uongo, khanga inadondoka mbele yake siiokoti naendelea na safari. Lazima aje.(Tatizo akisikia GOOOOOOOOOO!!!! Anastopisha game ya huku na kwenda kuchungulia nani kafunga? Nani?)

4.Nikiona amenuna kama COBRA almanusura kupasuka, NAMPOOZA KIDOGO manaake hawakawii hawa!

5. Namtext tu kazini leo ukitoka pitia hapa hotelini chumba namba 3, baasi wee masaa yanakuwa hayaendi.
 
Ila hakikisheni mnapima kabla ya kushobokeana ili msijemalizana kwa miwaya tukapata hasara bure. Otherwise wazo lako ni zuri hasa kwa vijana wa sasa. Mie baba yenu nshavuka huko ingawa siachi kudurusu mawazo yenu. Go ahead mpime na mfanye hayo ma experiments yenu kwa salama na mulua.
 
yaani kwanza mi nakua tayari nipo level inginee kabisaa..

hongera inaonesha how much you enjoy ua man, always usipokuwa mbunifu utaishia kulaumu siku zote lakini ukijishughurisha mambo yanajipa yenyewe
 
Back
Top Bottom