eucalyptos
JF-Expert Member
- Jan 23, 2010
- 391
- 139
Mkuu, je unafahamu ya kublock namba fulani tu?
Kwa kifupi nyingi ya simu tutumiazo hazina uwezo huo but NI BAADHI TU YA SIMU ZINA APPLICATION HII.
Mfano wa simu ni TECNO ambayo wengi wanazifahamu, pia si zote zinafanya japo application yenyewe inakuwepo.
Simu nyingine yenye uwezo huu ni MICROMAX (Hizi zinauzwa maduka mawili tu jijini Dsm), this is the best in this application. Zaidi ya hapo ukiweza kukagua simu zenye "BLACKLIST APPLICATION" kwenye soko au mtandao.