Jinsi ya kum block mtu asikupate kwenye mitandao ya simu

kama unatumia nokia symbian oroginal kuna software naweza kukupa unauwezo wa kublock mtu na sms zake utakavyo
unaweza ppia kuwafunga watu kutoka na mgroup yao kama wewe ulivyo waweka ila lazima uwe unatumia nokia AMBAYO NI KUBWA INAUWEZO WA KUINSTALL APPS
 
kama unatumia nokia symbian oroginal kuna software naweza kukupa unauwezo wa kublock mtu na sms zake utakavyo
unaweza ppia kuwafunga watu kutoka na mgroup yao kama wewe ulivyo waweka ila lazima uwe unatumia nokia AMBAYO NI KUBWA INAUWEZO WA KUINSTALL APPS

tupe hiyo software mkuu
 
mimi nina techno tv60, ina black list, wasumbufu wote wametulizwa huko kimiaaaa
 
Dawa ya Deni ni kulipa na Ukitaka amani wewe na mwenzi wako kuwa mwaminifu ndo dawa ya kublock simu za wasumbufu. Mbinu zingine zote utakazo ambiwa ni za kichina
 
Hii jf sasa naona inakua kichaka cha kufichia wahalifu, yaani mtu unadaiwa badala ya-kulipa unakuja kuomba ushauri huku namna ya kujificha. Aaaagh! Inakera
 
Mbona hiyo ni rahisi sana simu nyingi za kichina zina hiyo option ya BLACKLIST unaingiza namba za usiowahitaji wakupate ukianzia na +255 muda wote akipiga atajibiwa inatumika.Njia ya pili ni kwa wenye simu za symbia android na nyinginezo kubwa kama ni nokia nenda OVI STORE u search CALL BLOCKER utazipata nyingi za kujizolea yaani hiyo inakuuliza unataka anapopiga ajibiwe vp kwa ku-hang up au kwa sms utakayokuwa umeiandika wewe na nyingine nyingi utafurahia.KIBAYA NI PALE ATAKAPOTUMIA NAMBA NYINGINE KUKUPIGIA.Ila unaweza kutenga kwenye group kwamba namba zote mpya zisiingie ila tu walioko saved kwenye phonebook.
 
ndugu zangu nimejaribu njia zote zilizotajwa hapo juu sijafanikiwa! msaada ni kupata namba ya ktumia kublock ambayo unaweza kuitumia katika simu ya aina yoyote
 
tafuta sim ya Samsung, huwa zina hiyo kitu unayoitaka.Unaitafuta hiyo namba kisha unaenda kwenye options halafu unaenda kwenye add reject list

Ni kweli kwa smasung hii ni mwisho wa maneno. Mtu akipiga wewe unaona mwanga tu kwa screen yeye ana ambiwa simu iko busy mpaka hamu itakapomwisha ata acha kukusumbua.
 
Samsung D 780 na nyingine zinahuduma hiyo moja kwamoja toka kiwandani
 
Google hizi applications Mcleaner, Netqin communication Master, Dr Web au Call Manager zina hizo features za ku block calls + sms
 
Back
Top Bottom