Jinsi ya ku connect Simu Android kudisplay kwenye Laptop (Hasa Azam TV)

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,364
11,520
Wadau nmekuwa nikisafiri sana ndani na nje ya nchi kutokana na nature ya kazi zangu. Changamoto ninayoipata ni kuangalia VPL kupitia Azam.

Mara nyingi natumia App yao kuangalia mpira kupitia kwenye Simu.nikapata wazo la ku connect na laptop iwe ndo display ili niwe naangalia kwa ukubwa zaidi.

Tatizo ni kuwa ina connect vizuri katika mambo yote.but napofungua Azam App inakataa kuonesha kwenye display channel ambayo nmeichagua.ni kama imezuiliwa kwa namna flani.

Nachotaka kujua je kuna utaalamu wa kutumia App kama Azam ku display kwenye laptop? But pia Azam TV Max kwenye Bluestacks haikubali kuplay. Tatizo linaweza kuwa nini?

Nikitumia bluestacks
IMG_20201017_094856_563~2.jpg
 
Back
Top Bottom