Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,251
- 113,652
Mbona mi naona kama ameandika kwa paragraphs vile... au macho wangu ndio yanahitaji msaada wa yule mganga wa bungeni PROFESA MAJI MAREFU?
Karekebisha
Mbona mi naona kama ameandika kwa paragraphs vile... au macho wangu ndio yanahitaji msaada wa yule mganga wa bungeni PROFESA MAJI MAREFU?
Kwa kutumia simu, hukumbuki aya wala sura.Muwe mnaandika kwa kutumia aya.
Rock issue ya vyeti ni sensitive tusilete utani na vyeti hawezi pata cheti nje ya document za kumusadia alihitimu elimu gani na mwaka gani. jamani tujaribuni kufikiria zaid jinsi ya kumsaidiaKwani mkuu vyeti kuchanwa na mama mkwe ni kwamba huwezi kupata vingine, Nenda karipoti polisi kuwa vyeti vyako vimechanwa na utapata barua kutoka polisi ambayo utaenda nayo kuanzia shule yako ya msingi then nenda baraza la Mtihani na Chuo ulichosoma ambapo watakutolea Certified Copies za vyeti vyako vyote.
Na utakakoomba kazi kokote unaambatanisha na ile barua ya polisi kuwa uliwahi kureport polisi juu ya uharibifu wa vyeti vyako na ndo maana una Cerified Copy. Mbona wengi wanapoteza vyeti au kuungua kwa moto au kuibiwa ila wanapata kazi
Inaonekana kuchanwa kwa vyeti vyako ndo umeona mwisho wa maisha yako, kuhusu biashara ngoja waje wataalam kukupa ushauri
mkuu niwapi kama baraza nitolee hawakupi cheti labda chuoHivyo vyeti ulivipatia wapi? Na huko ulikovipatia hawana/ hawatunzi nakala ambazo unaweza kwenda wakakupatia vivuli vyake kwa kulipa ada ndogo?

Ebu jaribu kua serious kidogo we umesoma mpka university then unashindwa kujua ukipoteza vyeti utafanya nini ili uweze kutambulika kwa proffesional yako, haya bwana.
Baada ya kusimamishwa kazi mambo mengi yalikwama kiasi cha kutimuliwa kwenye nyumba nliyokuwa naishi anga za Sinza.
Mama mkwe alinibembeleza sana nikakae nyumbani kwake Tegeta ambako ana nyumba kubwa na anaishi peke yake.
Nilienda ili nikae kwa wiki moja then niondoke ili nirudi kijijini kwetu Nassa Jeneri ili nikauze ng'ombe na nije kuanza maisha upya.
Siku ya tatu ya ukaaji wangu ukweni nikiwa busy na JF mara sms ikaingia. Ile msg inaingia tu waif akaidaka simu na kukimbia nayo.
Akampelekea mama yake, ambaye akaja akiwa amekasirika sana. Mke wangu akaanza kunitukana kuwa mimi ni malaya na mama mkwe akaanza kuchana chana nguo zangu huku akinisimanga kuwa sina mbele wala nyuma na matusi mengine mengi mazito yasiyoelezeka.
Nguo zangu zikachanwa kiasi cha kuniacha mtupu kabisa, nikamwagiwa maji na kutolewa nje ya geti mchana kweupe.
Simu yangu, vyeti, laptop na vitu vyangu vyote vikabaki kwa mama mkwe wangu.Niliondoka hadi mitaa ya jirani ambako kuna rafiki zangu walionisitiri.
Baada ya siku chache nikaenda Mwanza kuuza ng'ombe wangu, sikuwa na simu wala namna yoyote ya mawasiliano.
Nikiwa Mwanza niliuza ng'ombe nikanunua simu na kumpigia mama watoto.
Akaniambia kuwa yale yote yalitokana na hasira, ndipo nikamuuliza kwani ile msg iliyoleta songombingo ilikuwa inasemaje?
Akaniambia ilitumwa na sekretari wangu na aliiandika Dear boss, hali ya ofisini ni mbaya sana amna amani, i m praying for you. Dah.. Nlivyo ambiwa hivyo nkatamani kucheka na kulia kwa wakati mmoja.
Nikauliza vyeti vyangu, nikaambiwa mama mkwe kachoma moto vyeti vyangu vyote vya sekondari hadi chuo.
Nliposikia hivyo niliumia sana.
Sasa nina mtaji wa milioni saba, wana jamvi anaombeni ushauri wenu je nifanye biashara gani kwa mtaji nilionao? Maana sina tena vyeti, biashara ndio maisha yangu yajayo.
Rock issue ya vyeti ni sensitive tusilete utani na vyeti hawezi pata cheti nje ya document za kumusadia alihitimu elimu gani na mwaka gani. jamani tujaribuni kufikiria zaid jinsi ya kumsaidia

Baraza la mitihani hawatoi tena vyeti. UDSM nimeripoti toka jumatatu, napigwa tu danadana hawaongei jambo lolote la kueleweka.

kamshtaki kuwa amechana nyaraka za serikali, ila Mpwa hii story ni kweli? na hizo 7M umezipataje fasta hivyo jamani?? haya pole bana, nenda Dubai kanunue nguo ufungue Boutique au wanavyofanya wenzio wenye mtaji kama wako wametafuta chumba cha biashara Mwenge na kununua Ngua kariakoo na kuja kuziuza kwa bei mbaya akijifanya ndio ametoka kuchukua Dubai au china, ila kama utafungua biashara ya ngu basi ziwe ni za watoto, nakwambia zinalipa sana...all da best

haiingii akilini mama mkwe achane vyeti kwa kesi ya sms moja tu

sasa akikuharibia maisha,huyo binti yake utaishi nae vipi??????

Umeona eehh ngumu bana

The Boss;

Mambo ya mke na mama mkwe sio ya muhimu kwangu, kwasasa cha muhimu ni future yangu. Walisema sina mbele wala nyuma... Ngoja nitafute mbele na nyuma

haiingii akilini mama mkwe achane vyeti kwa kesi ya sms moja tu

sasa akikuharibia maisha,huyo binti yake utaishi nae vipi??????

ni kweli yametokea