Vipi limeshatoka au umeamua uendelee kkukaa mkao wa tule monde posishooo
Kimbilia kwa YESU mapema,si ajabu linakuona muda huu unavyo comment.
ina maana limepiga shule nalo?? dont make me laugh
mimi sitaki ushauri wa kulitoa ,nimewauliza kama lina madhara au hlina na kama lina madhara nifatnye mbinu gani /solution ili liendelee kubaki bila ya madhara yoyote?
Makubwa kwa hiyo kumbe unalipenda na wewe kumbe hujatulia sasa ushauri wa nini kama ulitaka kubai nalo? ok all the best
si binadamu wa kawaida wale, wana uwezo mkubwa sana na ikitokea unataka kumtoa kwa kuwaza tu bila hata kuongea na mtu mwingine yeye anajua.
toa uongo hapa,una uhakika ueona au unanitisha tu hapa..stari stori za gahawa hapaNJOO UFANYIWE MAOMBEZI Ndugu. Adhawaizi hiyo damu au ndugu/mtoto wa karibu au Mzazi wako au yoyete unaempenda sana ni mali yake siku yoyote, wakati wowote.
Kwa sababu hutaki kumtoa nendeni mkapime ili ujue kama ana maradhi au la.
Kaa chonjo na mahaba hayo! kama kwa Babu wa Loliondo kuna msururu mrefu sana nenda Sumbawanga. Sjui unaishi wapi na huyo jini ? Siku moja utashangaa hiyo nanhhii haipo! Na hapo ni sehemu ya maisha! pole sana.
pole mkaka,,,bonga nae vema atakupa maujanja!! huenda upo nae kwa muda tuu,,,usiwe na kiB'ri!!
hii stori ni ya kweli jamani, hataki niwe na demu ,kila nikipata demu sikai nae ,sasa niendelee na huyu jini mahaba au nifanyeje? Ushauri jamani sio mzaha na hawa jini mahaba hawana magonjwa kama kaswende ukimwi kisonono au kichocho? .. Nipo njia panda jamani hapa