Jini mahaba ananipa mambo

Jini ndie lucifer,hawa ndio viumbe vya Mwanzo kuja humu duniani kabla ya Binadamu,kwenye kitabu kimoja ch dini huwaita MAJITU.hata wanasayansi wa chuo kikuu cha MASSACHUSETTS nchini marekani walifanya utafiti wao na kuuchapisha kwenye kitabu walichokiita"the mystery planet"mwaka 1989,ukisoma hicho kitabu utagundua Kuwa majini ni viumbe waliopata kuishi kimwili na kiroho hapa duniani,sababu ya wao kutoonekana kirahisi siku hizi ni kwa ajili ya kujihami,asili imewabadilisha baada ya mwanadamu kuiteka dunia!

kaziii kwelii kweliii..hivi majini mahaba ni story za kweliii

gaga wewe unasali wapi twende wote?
Mkuu Saint Ivuga Rafiki yangu Pole sana jaribu kutumia hii dawa ikishindikana wasiliana na mimi kwa njia ya Email yangu address hii fewgoodman@hotmail.com nitaweza kukusaidia fanya hivi: kila siku usiku

chukuwa maganda ya vitunguu saumu tiya kwenye sufuria ya maji changanya pamoja uwe kila wakati wa kulala

ujipake hayo maji ya Vitunguu samu mwilini mwako wote kisha ulale atakuwa mbali na wewe kwa muda fulani hutakuwa

tena unajikojolea usingizi tena tumia kwa muda wa wiki 3 kisha ue unipe Feedback.

562406_391824147537162_261686161_n.jpg



Huyu ni JINI MAHABA wa Kike anaitwa SUCCUBI huwajia wanaume na kufanya nao Mapenzi wakati usiku umelala.


578827_428643790521864_1903783179_n.jpg



Huyu ni JINI Subiani Jıni Dume huyo anaye wapenda wanawake,akikupenda huwa anakuja usingizini kwa sura kama hiyo hapo juu ndio amejitahidi hapo kujiweka Bonge la Handsome kwa ajili ya kuwafuata wanawake usiku usingizini.
 
Last edited by a moderator:
hii stori ni ya kweli jamani, hataki niwe na demu ,kila nikipata demu sikai nae ,sasa niendelee na huyu jini mahaba au nifanyeje? Ushauri jamani sio mzaha na hawa jini mahaba hawana magonjwa kama kaswende ukimwi kisonono au kichocho? .. Nipo njia panda jamani hapa
Fafanua kidogo huwa inakuwakuwaje ili wataalamu tukueleweshe, isije ikawa ni nightmare za kawaida tu halafu ukadhani ni jini mahaba.
 
mbona washafunga ndoa siku nyingi,wana watoto wawili mpaka sasa na huyo jini wake
 
Mmmh katafute dawa maeneo ya tanga dawa ipo la cvyo ndg itakuwia vgm SN maana yana wivu hayo zaidi ya binadam
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom