Jini mahaba ananipa mambo

mimi nataka kujua kama ana madhara ama vipi? Kama hana itabidi niende naye maili ndefu

Wewe, Hilo Ni pepo! Na wala usidanganyike kuwa ni la kike hayo yana uwezo wa kujibalisha jinsia yanavyotaka! Hata likiamuwa kuwa Mbuzi au nyoka inawezekana! Acha kuzini na Ibilisi! yesu ni jibu Tosha! Hayo yote ni matokeo ya Uzinzi!!! Madhara yake ni Kifo tena cha Aibu. Utajuuuuta! Nawakilisha, :shetani:
eRRy

Hilo ni pepo, haraka sana tafuta msaada wa maombi {Tafuta msaada wa maombi haraka sana (sikutishi)}. Haya majini mahaba yana madhara sana, yanaweza kusababisha "jongoo asipande mtungi" unapokutana na binadamu wa kawaida. Yanaleta mifarakano katika ndoa na kuvunja mahusiano.

Yesu Kristo ni jibu la hilo tatizo lako.

Take care!

mimi nataka kujua kama ana madhara ama vipi? Kama hana itabidi niende naye maili ndefu

madhara yapo la kwanza tayari limeshakuharibu kisaikolojia
hujiulizi unafanya mapenzi na mtu humwoni humjui amefanana vipi
na wewe inaonekana unapenda sana wala hatakuacha kabisa
madhara ya mwisho anakuua

Pole sana mkaka ni kweli mambo hayo yapo wabishao bado wadogo hayajawakuta au yanawakuta wanafurahia ile raha ya usiku wachana nao nikwambia mimi nijuavyo wengi niliowasikia wakipata matatizo hayo kwa imani zao wengine walikuwa wakisali sana wakati wa kulala, wataalam wengine wanakupa dawa za kiarabu kujipaka mwili wote wakati wa kulala hivyo unakuwa upatwi na ndoto hizo za sex na mwisho nawe jiamini pale unapohisi unafanya nalo tendo la ndoa kataa kiroho utajikuta umeamka na ukistuka usingizini katika kukwepa hali hiyo hapo hapo unasali sana kwa imani yako kumkemea shetani. Ukifanya hivyo ndani ya siku 7 weee hata jini nini atatoweka tu. HIZO NDIZO IMANI ZANGU MIMI CJUI WANA-JF WATAKUSHAURI NINI? POUA

madhara yapo la kwanza tayari limeshakuharibu kisaikolojia
hujiulizi unafanya mapenzi na mtu humwoni humjui amefanana vipi
na wewe inaonekana unapenda sana wala hatakuacha kabisa
madhara ya mwisho anakuua

hafi mtu hapa wala nini... Wewe mke wako unaempa mambo ya uhakika na mastaili ya kufa mtu anaweza kukuua??

Nafikiri hujaelewa maana ya imani...

Majini pia ni imani kwa kua hayaonekani hvyo watu wanayasikia kupitia maandiko matukufu...na ndipo zinapopatikana hizo habari.

Mashaytwan kama huelewi maana yake ...naomba urejee huko nyuma ndani ya hii topic utakuta tu.

Pia siku nyingine kama hujui kitu uwe unauliza sio kutengeza ukingo wa kukanusha.

Sisi waumini wa uislam tumefundishwa kuuliza kuliko kueleza usiyo yajua...

Hatuna falsafa za kila mtu....hilo ndio huathiri watu wengi ambao hawafuati njia (dini) sahihi.

huna lolote wewe

Pole shetani hana namna ya kujidhihirisha katika ulimwengu huu isipokuwa wanadamu wanaomkubali wakimsaidia. Na huyu jini si kwamba anatafuta ngono bali anatafuta roho yako. Kwa majambazi huwapa dawa ya kuwasaidia wasikamatwe, kwa washirikina huwapa dawa za uchawi kwa wazinzi huwapa hali ya kufanya ngono. Mradi tu awakamate na kuwateka. Baadaye hutaweza kuoa mwanadamu kabisa na ukithubutu hutaweza kuwa na nguvu ya kiume kukutana na mwanadamu na huyu mwanamke atadhuriwa na hilo jina. Mnawaweza kuzaa na hilo jini lakini watoto si wanadamu ni roho zisizoonekana. Kwa kawaida baadaye watakudai makafara na au kutaka kukufanya go between kati ya majini na wanadamu kutimiza matakwa yao katika ulimwengu wa wanadamu. (kwa maneno mengine uwe teja la majini) Utaanza kusikia mwili wako unakuwa mzito na wakati mwingine utakuwa unahisi mambo ambayo wengine hayaoni lakini yanakutesa nafsi yako. Njia ya kuondokana na hilo jini kama ukitakata ni kukimbilia kwa Yesu na kuomba msamaha kwa kufurahia ushirika huo na mapepo. Kisha yatakemewa na kukutoka kwa jina la huyo Yesu. Otherwise utakaa nayo hadi mwisho wako duniani. Nawasilisha

Hilo ni pepo, haraka sana tafuta msaada wa maombi {Tafuta msaada wa maombi haraka sana (sikutishi)}. Haya majini mahaba yana madhara sana, yanaweza kusababisha "jongoo asipande mtungi" unapokutana na binadamu wa kawaida. Yanaleta mifarakano katika ndoa na kuvunja mahusiano.

Yesu Kristo ni jibu la hilo tatizo lako.

Take care!

aaaa!!acha sound weweee...jongoo asipande mtungi tena wakati huyo jini mwenyewe anafurahia

Pole shetani hana namna ya kujidhihirisha katika ulimwengu huu isipokuwa wanadamu wanaomkubali wakimsaidia. Na huyu jini si kwamba anatafuta ngono bali anatafuta roho yako. Kwa majambazi huwapa dawa ya kuwasaidia wasikamatwe, kwa washirikina huwapa dawa za uchawi kwa wazinzi huwapa hali ya kufanya ngono. Mradi tu awakamate na kuwateka. Baadaye hutaweza kuoa mwanadamu kabisa na ukithubutu hutaweza kuwa na nguvu ya kiume kukutana na mwanadamu na huyu mwanamke atadhuriwa na hilo jina. Mnawaweza kuzaa na hilo jini lakini watoto si wanadamu ni roho zisizoonekana. Kwa kawaida baadaye watakudai makafara na au kutaka kukufanya go between kati ya majini na wanadamu kutimiza matakwa yao katika ulimwengu wa wanadamu. (kwa maneno mengine uwe teja la majini) Utaanza kusikia mwili wako unakuwa mzito na wakati mwingine utakuwa unahisi mambo ambayo wengine hayaoni lakini yanakutesa nafsi yako. Njia ya kuondokana na hilo jini kama ukitakata ni kukimbilia kwa Yesu na kuomba msamaha kwa kufurahia ushirika huo na mapepo. Kisha yatakemewa na kukutoka kwa jina la huyo Yesu. Otherwise utakaa nayo hadi mwisho wako duniani. Nawasilisha
kwa hiyo kumbe kuna possibility ya kuzaa naye...basi kama ni hivo watoto si watamfuata baba? i mean watakuwa ni binadamu wa kawaida tu

hii stori ni ya kweli jamani, hataki niwe na demu ,kila nikipata demu sikai nae ,sasa niendelee na huyu jini mahaba au nifanyeje? Ushauri jamani sio mzaha na hawa jini mahaba hawana magonjwa kama kaswende ukimwi kisonono au kichocho? .. Nipo njia panda jamani hapa
Hebu muulize yule jamaa MAJIMOTO,mwenye avatar ya jicho,nadhani ni mtu muafaka kwako ili huyu jini asije akakufanya ukose mambo.

Back
Top Bottom