Jini mahaba ananipa mambo

Kuna ndgu yako kakutumia mara nyingi Politicians ila nimeshangaa umejuaje kama ni jini na watu wengine hawamuoni maana mara nyingi waliotokewa huwa hawajui kirahisi kama ni jini.
 
Kuna ndgu yako kakutumia mara nyingi Politicians ila nimeshangaa umejuaje kama ni jini na watu wengine hawamuoni maana mara nyingi waliotokewa huwa hawajui kirahisi kama ni jini.

hapa umeingia cha kike, hakuna ndugu yangu mwenye uwezo wa kufanya hivi..
 
Unamaanisha popobawa??

soma vizuri thread yangu. Nimeiandika vizuri sana na inaeleweka. Au umeandika hapa ili kuongeza idadi ya post zako nini
pls!! Read my thred first before you come and write here , i need an advice from well educatedkeven traditionally peoples here in JF. Tchao!!
 
hii stori ni ya kweli jamani, hataki niwe na demu ,kila nikipata demu sikai nae ,sasa niendelee na huyu jini mahaba au nifanyeje? Ushauri jamani sio mzaha na hawa jini mahaba hawana magonjwa kama kaswende ukimwi kisonono au kichocho? .. Nipo njia panda jamani hapa

Nyeto ukiizoea inatabu sana ndo mwisho wake huuu:lol::lol::lol:
 
maria acha mzaha . Mi nipo njia panda ndugu yangu wewe unaleta utani? Niambie kuna madhara yoyote?


Haahaha haha unalo leo kazi kwako madhara yapo kibao wahi ukaombewe uondokewe na pepo la ngono :lol::lol::lol:
 
hii stori ni ya kweli jamani, hataki niwe na demu ,kila nikipata demu sikai nae ,sasa niendelee na huyu jini mahaba au nifanyeje? Ushauri jamani sio mzaha na hawa jini mahaba hawana magonjwa kama kaswende ukimwi kisonono au kichocho? .. Nipo njia panda jamani hapa
Ukiamini hvyo cku moja litakuja jini dume hapo ndo utaipandeka
 
nenda kaombewe kama ww unaamini kihivyo, au kaandikiwe matakimu kwa haya haya !!!
 
naskiaga yanakuwaga warembo kweli...
hongera.:ballchain:

kuna siku nilikuja na mada ya majini warembo hamkuamini sasa wanaanza kutoa ushuhuda wenyewe, jamani haya yapo sana kweli ni watamu wanajua stail zote, wawana ngoma, wala hawaugui magonjwa yoyote, ila mwisho wa siku litakugeuka ikibidi kukudedisha,
 
Uhusiano wowote kati ya m wanadamu na jini huisgia kwa mwanadamu kufa kwa kunyonywa damu hivyo usifurahie sana SIKITIKA MNO uko njia panda ya KIFO na UZIMA.
Ushauri wangu:
Nenda kwa watumishi wa Mungu waliokoka wakakufanyie maombi uwekwe huru kwani kwa sasa umefungwa usifikiri uko salama.

Njooni kwangu ninyi msumbukao na wenye kuelemewa na mizigo, nira yangu ni laini na mzigo wangu ni mwepesi..Asema BWANA
 
kuna baadhi ya imani zinazoamini majini ni viumbe Kama viumbe wengine kwahiyo wanayaoa, wanajenga urafiki wa kutembeleana nayo na kusaidiana na wengine wanadai wanalindwa na majini. kwa imani ya dini yangu hakuna urafiki kati ya binadamu na majini sasa basi Kama imani yako inaruhusu acha kutukejeli songa mbele na hilo balaa lako, Kama imani yako hairuhusu mtafute Bon mwait..... akakuangushie maombi tatizo lako ni kubwa sana kaka

Jaman muwe mnatumia na akili zenu...kutafakari.
Jinn ni kiumbe bila shaka. Kama si kiumbe kwa hiyo imani yako... jinn ni nin?
Halafu neno shaytwan ni sifa. Hata ww binadam unaweza itwa shaytwan.
Lakin ww binadam huwezi itwa jinn and virce versa.
Uliza ujibiwe na uelimishwe zaidi kuhusu hao viumbe(majinn).
 
Toa maelezo zaidi
huyo jini yuko Je?
Na unaonana nae vipi
Kama ni ndoto basi unamatatizo
 
Back
Top Bottom