Jini mahaba ananipa mambo

Ukiokaka lina hama moja kwa moja. Hivi wewe kwa akili yako unaweza ishi na shetani? Jamani tuwe resonable. Fanya maombi na mungu atakusaidia litakutoka.
 
hii stori ni ya kweli jamani, hataki niwe na demu ,kila nikipata demu sikai nae ,sasa niendelee na huyu jini mahaba au nifanyeje? Ushauri jamani sio mzaha na hawa jini mahaba hawana magonjwa kama kaswende ukimwi kisonono au kichocho? .. Nipo njia panda jamani hapa

Kabla sijakushauri naomba kujua kama we ivuga ndo unalinanihii hilo jini au jini ndo linakunanii. kwa maneno mengine nani ni mwanamke au mwanamme kati ya wewe na jini?
 
Halafu ivuga be specific about styles unazotumia kufanya mapenzi na jini. Some of them huwa majini hayapendi. I am speaking from experience mdogo wangu.
 
Uhusiano wowote kati ya m wanadamu na jini huisgia kwa mwanadamu kufa kwa kunyonywa damu hivyo usifurahie sana SIKITIKA MNO uko njia panda ya KIFO na UZIMA.
Ushauri wangu:
Nenda kwa watumishi wa Mungu waliokoka wakakufanyie maombi uwekwe huru kwani kwa sasa umefungwa usifikiri uko salama.

ok, nashukuru mkuu kwa ushauri. Ila mbona umeniogopesha tena? Siko salama kivipi? Wanakuwaga na magonjwa?
 
Dah, Ivugaaaaaaaaaaaaaa!!!
Kwa nini lakini?

ndugu yangu ni stori ndefu, sijui nitatokaje huku. Kwa sababu mambo anayonipa we acha tu.. Kwanza ni mzuriiii ana kita*o hichooo, sitaki hata kubanduka lakini naambiwa kuwa ana madhara . Na tatizo hajawahi kuniongelesha hata siku moja yeye anakuja anatoa mambo then anadissappear.
 
Halafu ivuga be specific about styles unazotumia kufanya mapenzi na jini. Some of them huwa majini hayapendi. I am speaking from experience mdogo wangu.

style yake balaaa, mimi huwa nachokaaa. Kuna style moja ananipaga yeye huwa kama vile amenin'ginia hivi na mimi nampa mambo kutokea chini.. Na nikipitisha mike karibu na tigo ananikaba shingo hataki.
 
naskiaga yanakuwaga warembo kweli...
hongera.:ballchain:

ni mkali noma yaani, kama ingekuwa inawezekana kutinga naye kitaa kila mtu angekuwa ananipa respect sema ndo ivo tena namuona mimi tu
 
piiiiqa kazi kaka usimwache huyo bibie............................

mkuu we acha tu sasa sijui kuna mtu kanitupia au imetokea tu au sijui kwa vile napiga gym sana hata sijui. Ila kuna sku man nilipiga kiti moto hakuja kabisa ile jioni yake akapotea sema kesho yake akaja usku akaniamsha akanikaba kinoma .....sasa sijjajua kuna connection yoyote manake amra mbili zota nimepiga mdudu na demu hakutokea anakujaga kesho yake na akija ananikabaga kinoma kama jinamizi .. Da nyie acheni tu!! Bora usimuliwe tu hivi hivi
 
Sasa kiti moto ndo itavunja kabisa ndoa yenu. Usirudie tena tuna mwombe radhi mpenzi wako jini
 
kuna baadhi ya imani zinazoamini majini ni viumbe Kama viumbe wengine kwahiyo wanayaoa, wanajenga urafiki wa kutembeleana nayo na kusaidiana na wengine wanadai wanalindwa na majini. kwa imani ya dini yangu hakuna urafiki kati ya binadamu na majini sasa basi Kama imani yako inaruhusu acha kutukejeli songa mbele na hilo balaa lako, Kama imani yako hairuhusu mtafute Bon mwait..... akakuangushie maombi tatizo lako ni kubwa sana kaka
 
hii stori ni ya kweli jamani, hataki niwe na demu ,kila nikipata demu sikai nae ,sasa niendelee na huyu jini mahaba au nifanyeje? Ushauri jamani sio mzaha na hawa jini mahaba hawana magonjwa kama kaswende ukimwi kisonono au kichocho? .. Nipo njia panda jamani hapa

Ivuga umeanza kuhudhuria darasani pale magomeni mwembechai??:hatari:
 
Sasa kiti moto ndo itavunja kabisa ndoa yenu. Usirudie tena tuna mwombe radhi mpenzi wako jini

Dah!! Kwa hiyo huyu mdudu hawampendi nini? kuacha huyu mdudu ni kazi jamma angu sema nikimpiga nakabwa usku
 
tia kunka kaka kama vip ongezea na mkuyat il akayape taarifa na wenzake waje kwako kwa wng
 
Kemea sio hali ya kuifurahia hata kidogo inaweza kukuletea matatizo makubwa maishani mwako
 
Back
Top Bottom