Jimbo la Mtera limeingiliwa, eti huyu ni Diwani kwenye Jimbo hilo!!

Hahaaaaa imagine yuko jukwaani anakuhutubia ishu ya maendeleo! Anafanana sana na mpiga filimbi wa hamelini!!!! Ni kitabu cha zamani cha hadithi za watoto kilichotafsiriwa toka kiingereza
 
Mara mia na yule wa "power tila" kule igunga aliyekuwa anakata sebene juu ya meza.
 
Nimeamini Mtera jimbo ni kama kichwa cha mwendawazimu, kama Lusinde ni mbunge na huyu JOKER ni diwani then sishangai kwa nini mzee Tingatinga kawa mbunge muda mrefu na huenda mwanae Le Mutuz na ule ukilaza anaweza kuwa mbunge siku moja
 
Haha,mbona sijaona kosa lake kwenye picha au nae ni
mchafu wa mdomo?
 
KWELI CCM NI CHAMA FEKI YAANI KWELI KILIMTEUA HUYU MWENDAWAZIMU KUGOMBEA UDIWANI!!!!!!!!! NA KAMA HAITOSHI HATA HUYO LUSINDE MWENYEWE NI BOLIZOZO TU. NAFIKIRI HATA WANANCHI WA MTERA WANAHITAJI KUPIMWA AKILI ZAO KWA KUWAPIGIA KURA WENDAWAZIMU!

[QU


OTE=Matola;3754258] Mhe.Abdallah Nundu Ali maarufu kwa jina la "Mobimba" Diwani kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM na rafiki wa karibu na Mhe. Livingstone Lusinde.[/QUOTE]
 
tUJIKUMBUSHE MAMBO YA LUSINDE:

'''' CCM Oyeeeeeeeeeeeee? Oyeeeeeeeee
Ndugu wananchi hawa CDM wanajifanya wao wanajua matusi ...basi kama wanajifanya wanajua matusi mimi nimezaliwa nayo KUDADADEKI''
Wanajifanya makamanda wakati wanavaa makombati kama WAMEJINYEA'' KUDADADEKI'''
Waone Mashogaa hawa!!! Tunajia wengine walifanyajwe gerezani!!!

NIWALAMBE Nisiwalambeeeeeeeeeeeeeee? Walambeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!
Unajua hawa CDM tunawaendekeza sana Mh Mwenyekiti .....Wengine eti wanajifanya wana uchungu!! eh watuambie kama wana mimba?!!!

Niwalambe Nisiwalambeeeeeeeeeeeeeeeee?
Mbowe .....TIA.....M.....mba
Slaaa .......TiA......M...Mba
Godbless TIA.....M...Mba
Nasari...TIA.....M....Mba
Vicent Nyerere...TIA....Mba


Niwalambe Nisiwalambeeeeeeeeee?
 
Du JF kuna mambo, hivi ni mavazi yake ya kila siku? Kweli wananchi wa mtera ccm ipo damuni hivi hawa ccm ndiyo wanawalisha, mbunge lusinde matusi kama kawa, diwani kama mcheza shoo tena wa zamani enzi za loketo!!!

Ha ha aa, hii ni kali sana
 
Hii thread toka jana naidharau sikujua kama ingenichekesha this way.
But sijaamin kama JK anajua kuwa ana diwani kama huyu!
 
ukisha kuwa kiongozi kuna mambo unatakiwa kuwa makini,mojawapo ni mavazi.. viongozi wake ktk chama ngazi ya wilaya na mkoa wanapaswa kukemea hii kitu!
 
Huyo ni mchekeshaji au ana brain concussion?

Huyo jamaa namjua, pia ni padri wa kanisa fulani kule Mvumi. Lakini, hivi Joti siku moja akiwa mbunge. Halafu tukawekewa picha yake aliyovaa gauni na kujipodoa wakati wa enzi zake za uchekeshaji tutashangaa?
 
Mkuu ni kweli tupu huyo bwana ni Diwani kwenye jimbo la Mtera, mimi sifanani na Pasco kuleta habari nusu nusu na za kusadikika.

Habari ni nusunusu, tuambie ni diwani wa kata gani kama una habari ambayo siyo nusunusu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom