Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,501
- 93,013
Mkuu ni kweli tupu huyo bwana ni Diwani kwenye jimbo la Mtera, mimi sifanani na Pasco kuleta habari nusu nusu na za kusadikika.Hakika jimbo limeingiliwa kama ni kweli huyu ni kiongozi wa wananchi.
hii picha nimeona mara nyingi nikadhani nicomedy.....kumbe ni mtu yupo serious na anajulikana
Naomba ufafanuzi wa aliyetuma hii picture kwani namfahamu huyu jamaa anafanya kazi TANESCO-RUFIJI. Sina taarifa za hivi karibuni kama aliacha kazi na kwenda kwenye siasa but as i know him ni mchapa kazi kweli kweli. Hivi vimbwanga huwa anavaa muda wote na utamkuta kwenye mlingoti wa umeme na vimbwanga vyake isipokuwa viatu
nawasilisha
Unahitaji ufafanuzi gani mkuu tena? jina lake lipo cheo chake ni diwani, sasa unataka mimi nikusaidie nini zaidi? Google madiwani wa jimbo la Mtera.Naomba ufafanuzi wa aliyetuma hii picture kwani namfahamu huyu jamaa anafanya kazi TANESCO-RUFIJI. Sina taarifa za hivi karibuni kama aliacha kazi na kwenda kwenye siasa but as i know him ni mchapa kazi kweli kweli. Hivi vimbwanga huwa anavaa muda wote na utamkuta kwenye mlingoti wa umeme na vimbwanga vyake isipokuwa viatu
nawasilisha
Duh loh hii kali, huyu jamaa hajawahi kuwa mpiga debe pale stand kuu ya Dodoma nahisi nilisha muona muda mrefu uliopita.