Uchaguzi 2020 Jimbo la Meatu litaenda CHADEMA iwapo CC ya CCM itafanya figisu kwenye uteuzi

guwe_la_manga

JF-Expert Member
Oct 20, 2019
2,820
2,755
Wasalaam,

Kuna majimbo ambayo ni wazi yataenda upinzani hasa CHADEMA iwapo CC ya CCM haitotenda haki.
Mathalani jimbo la Meatu lilipo wilaya ya Meatu mkoa wa Simiyu.

Jimbo hili lilikuwa chini ya CCM likiwakilishwa na Mhe Selemani Mbuzi almaarufu Jambo.
Kwa wasiomfahamu Jambo ndiye mmiliki wa kiwanda cha vinywaji cha Jambo kinachopatikana mkoani Shinyanga.

Kwenye kura za maoni za mwaka huu Mwanamama na Mbunge wa Viti Maalumu Leah Komanya ambae anawakilisha mkoa wa Simiyu alifanikiwa kumng'oa Mhe Selemani Mbuzi almaarufu Jambo kwa tofauti ya kura zaidi ya 30!

Kipigo hiki kilimfanya Mhe Jambo atoke nduki ukimbini bila kusaini fomu za matokeo!

Cha ajabu kipigo hiki kitakatifu kimeligawa jimbo la Meatu:

1) 60% ya wakazi wa Meatu wanasema iwapo jina la Leah Komanya likirudi basi kura zote zinaenda kwa mgombea wa CHADEMA Mwl Johnston wa pale Mwandete SS!

2) 40 % ya wakazi wa Meatu wanasema iwapo CC ya CCM itapindua meza na kumpa Jambo ushindi wa mezani basi kura zitaenda kwa Mwl Johnston!

3) Na iwapo CC ya CCM itawakata wagombea wote wawili walioshika nafasi ya kwanza na pili ambao ni Leah na Jambo basi team Jambo wamesema kura zote watapigia CHADEMA!

Waweza ongezea majimbo mengine yenye changamoto ambayo yana dalili ya kuangukia Upinzani!
 
Lini umefanya utafiti? Umeandika kwa niaba ya huyo Jambo..unamharibia
 
CC unayo kazi ngumu kuwatoa akina Sagini,prof muhongo,ole sendeka, mnyeti,gambo, sashisha, Ibrahim shayo,priscus kimaryo, mwandri,molel Dr,Dr David mathayo,Riziwani kikwete,Fred Lowasa,kurwa biteko,orodha ni kubwaaaaaaaaa
 
Wasalaam,

Kuna majimbo ambayo ni wazi yataenda upinzani hasa CHADEMA iwapo CC ya CCM haitotenda haki.
Mathalani jimbo la Meatu lilipo wilaya ya Meatu mkoa wa Simiyu.

Jimbo hili lilikuwa chini ya CCM likiwakilishwa na Mhe Selemani Mbuzi almaarufu Jambo.
Kwa wasiomfahamu Jambo ndiye mmiliki wa kiwanda cha vinywaji cha Jambo kinachopatikana mkoani Shinyanga.

Kwenye kura za maoni za mwaka huu Mwanamama na Mbunge wa Viti Maalumu Leah Komanya ambae anawakilisha mkoa wa Simiyu alifanikiwa kumng'oa Mhe Selemani Mbuzi almaarufu Jambo kwa tofauti ya kura zaidi ya 30!

Kipigo hiki kilimfanya Mhe Jambo atoke nduki ukimbini bila kusaini fomu za matokeo!

Cha ajabu kipigo hiki kitakatifu kimeligawa jimbo la Meatu:

1) 60% ya wakazi wa Meatu wanasema iwapo jina la Leah Komanya likirudi basi kura zote zinaenda kwa mgombea wa CHADEMA Mwl Johnston wa pale Mwandete SS!

2) 40 % ya wakazi wa Meatu wanasema iwapo CC ya CCM itapindua meza na kumpa Jambo ushindi wa mezani basi kura zitaenda kwa Mwl Johnston!

3) Na iwapo CC ya CCM itawakata wagombea wote wawili walioshika nafasi ya kwanza na pili ambao ni Leah na Jambo basi team Jambo wamesema kura zote watapigia CHADEMA!

Waweza ongezea majimbo mengine yenye changamoto ambayo yana dalili ya kuangukia Upinzani!
Hizi takwimu umezipata wapi? Hili jimbo lina wapiga kura wangapi hadi uwe na data zao?? Cc haitishwi na maneno ya mtandaoni. Vigezo na masharti ndivyo vitampitisha mgombea.
Kwamba ulikula za Mbuzi pole sana..
 
Wasalaam,

Kuna majimbo ambayo ni wazi yataenda upinzani hasa CHADEMA iwapo CC ya CCM haitotenda haki.
Mathalani jimbo la Meatu lilipo wilaya ya Meatu mkoa wa Simiyu.

Jimbo hili lilikuwa chini ya CCM likiwakilishwa na Mhe Selemani Mbuzi almaarufu Jambo.
Kwa wasiomfahamu Jambo ndiye mmiliki wa kiwanda cha vinywaji cha Jambo kinachopatikana mkoani Shinyanga.

Kwenye kura za maoni za mwaka huu Mwanamama na Mbunge wa Viti Maalumu Leah Komanya ambae anawakilisha mkoa wa Simiyu alifanikiwa kumng'oa Mhe Selemani Mbuzi almaarufu Jambo kwa tofauti ya kura zaidi ya 30!

Kipigo hiki kilimfanya Mhe Jambo atoke nduki ukimbini bila kusaini fomu za matokeo!

Cha ajabu kipigo hiki kitakatifu kimeligawa jimbo la Meatu:

1) 60% ya wakazi wa Meatu wanasema iwapo jina la Leah Komanya likirudi basi kura zote zinaenda kwa mgombea wa CHADEMA Mwl Johnston wa pale Mwandete SS!

2) 40 % ya wakazi wa Meatu wanasema iwapo CC ya CCM itapindua meza na kumpa Jambo ushindi wa mezani basi kura zitaenda kwa Mwl Johnston!

3) Na iwapo CC ya CCM itawakata wagombea wote wawili walioshika nafasi ya kwanza na pili ambao ni Leah na Jambo basi team Jambo wamesema kura zote watapigia CHADEMA!

Waweza ongezea majimbo mengine yenye changamoto ambayo yana dalili ya kuangukia Upinzani!
Hakuna shida hata jimbo wakichua upinzani kikubwa ni uwakilishi bungeni tu, ila wewe pia acha kutumika kwa namna ulivyoandika unaonyesha kabisa unatumika na huyo mbuzi sijui jambo na hili ndo tatizo la wanachama njaa, eti mpaka asilimia umeweka.
 
Back
Top Bottom