M Mkombozi JF-Expert Member Feb 19, 2008 806 426 Aug 21, 2012 #1 Nimesikia kua kuna jiko la kuni tatu tu chakula kinaiva.Wakuu kama kuna mtu mwenye taarifa zaidi atujuze mechanisms zake jinsi linavyofanya kazi
Nimesikia kua kuna jiko la kuni tatu tu chakula kinaiva.Wakuu kama kuna mtu mwenye taarifa zaidi atujuze mechanisms zake jinsi linavyofanya kazi
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Aug 24, 2011 49,208 103,782 Aug 21, 2012 #2 Daah, mkuu tutake radhi watu wa siasa........
M Mkombozi JF-Expert Member Feb 19, 2008 806 426 Aug 21, 2012 Thread starter #3 Sorry nilijaribu kupost kwingine ikagoma
Chief-Mkwawa Platinum Member May 25, 2011 30,716 39,804 Aug 22, 2012 #4 nnavojua mimi hayo majiko yanatumia kuni artifical na sio za kawaida, zile kuni ambazo zimetengenezwa na uchafu wa mashambani kama hizi Kuni hizi hata uchukue mafiga ustumie jiko 3 zinapika vizuri na hazina moshi. Ukiniuliza pa kuzipata spajui ila nnachokumbuka tulikua tunatumia shuleni mwika
nnavojua mimi hayo majiko yanatumia kuni artifical na sio za kawaida, zile kuni ambazo zimetengenezwa na uchafu wa mashambani kama hizi Kuni hizi hata uchukue mafiga ustumie jiko 3 zinapika vizuri na hazina moshi. Ukiniuliza pa kuzipata spajui ila nnachokumbuka tulikua tunatumia shuleni mwika