Naomba kujua sifa za sufuria za non stick

Godee jr

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
1,782
2,373
Habari wakuu.

Natamani nifanye jiko la nyumbani kwangu liwe la tofauti kidogo na nimeona Kuna hizi sufuria za non stick ambazo zimekuwa maarufu sana.

Naomba mwenye kuzijua vizuri anielezee sifa zake. Moja ya kitu nachotaka kujua ni kama naweza kuzitumia kama sufuria lakini pia kama hotpot.

Wanasema kuwa haziunguzi chakula. Kuna ukweli ndani yake au lah?

Vipi kuhusu usalama kiafya ukizingatia material yake.

Asanteni
 
Habari wakuu.

Natamani nifanye jiko la nyumbani kwangu liwe la tofauti kidogo na nimeona Kuna hizi sufuria za non stick ambazo zimekuwa maarufu sana.
Naomba mwenye kuzijua vizuri anielezee sifa zako.
Moja ya kitu nachotaka kujua ni kama naweza kunitumia kama sufuria lakini pia kama hotpot.

Wanasema kuwa haziunguzi chakula. Kuna ukweli ndani yake au lah?
Vipi kuhusu usalama kiafya ukizingatia material yake.

Asanteni
Zina chemchemi ndani yake kwamba haziunguzi chakula? Hizo ni lugha za wafanyabiashara tu, na kuwanasa wanaopenda "vitu vya tofauti"
 
Teflon ni sumu mbaya ambayo ilikuwa inatumika kwenye vitu vingi kuvifanya water proof mfano sufuria za non stick,bati za nyumba,rangi za magari etc. Kwa sasa wanasema kila bidamu ana kiwango cha teflon mwilini.
Duuuh
 
Moja ya kitu nachotaka kujua ni kama naweza kunitumia kama sufuria lakini pia kama hotpot
Zipo ambazo waweza epua jikoni na kuiweka mezani as serving bowl… na zipo non stick ya sufuria tu
 
Habari wakuu.

Natamani nifanye jiko la nyumbani kwangu liwe la tofauti kidogo na nimeona Kuna hizi sufuria za non stick ambazo zimekuwa maarufu sana.
Naomba mwenye kuzijua vizuri anielezee sifa zako.
Moja ya kitu nachotaka kujua ni kama naweza kunitumia kama sufuria lakini pia kama hotpot.

Wanasema kuwa haziunguzi chakula. Kuna ukweli ndani yake au lah?
Vipi kuhusu usalama kiafya ukizingatia material yake.

Asanteni
Non stick pans ''zimepakwa'' layer maalum ya material iloi kuzifanya ziwe salama na rahisi kwenye mapishi. Usalama kwa maana ya kuwa kuna vyakula vinavyoweza kuwa na vitu kama acid vinavyoweza ku-react na sufuria na kuetengeneza chemicals harari zinapochanganyika na vyakula. Na rahisi kwa sababu unaweza kupika vyakula vinavyonata-nata kwa urahisi zaidi.
 
Zipo ambazo waweza epua jikoni na kuiweka mezani as serving bowl… na zipo non stick ya sufuria tu
Please recommend hizi ikiwezekana na picha pia. Nataka hizi ambazo ukitoa jikoni ni mezani Moja Kwa Moja ili kupunguza makorokoro mengi
 
Sikia,ukitaka sufuria bora zingatia na bei. Sufuria yoyote (set) chini ya 250K sio. Andaa kuanzia hapo 250K hadi 900K huko zipo.
Na zilizo bora ni stainless steel, granite, cast iron n.k.
Binafsi napenda masufuria kuliko chochote jikoni.
Asante sana. Hapa Sasa ndio nimeelewa maana nilikua nashindwa hapo kwenye bei
 
Please recommend hizi ikiwezekana na picha pia. Nataka hizi ambazo ukitoa jikoni ni mezani Moja Kwa Moja ili kupunguza makorokoro mengi
Inategemea na ulipo… mm niliuziwa 270K, mkoani. Kkoo ya Dar yaweza kushuka
IMG_1736.jpeg
240ce0ce-e9d5-4fad-b932-cb5b737694a6.jpeg
 
Tulikuwa tunapenda sana hayo ma non stick, baadae ukishakuwa na familia unaanza kuwa na machale kwenye kila unachonunua, ndipo nilipokutana na scandal ya teflon na wakaazi mji wenye viwanda vya kutengeneza hizo teflon marekani walikuwa wanakufa kwa cancer
Sufuria za bati hizo zinazouzwa mitaani ni bora mara elfu, kawaunge mafundi na pia wewe kwa afya yako

1695564577373.png

Sikia,ukitaka sufuria bora zingatia na bei. Sufuria yoyote (set) chini ya 250K sio. Andaa kuanzia hapo 250K hadi 900K huko zipo.
Na zilizo bora ni stainless steel, granite, cast iron n.k.
Binafsi napenda masufuria kuliko chochote jikoni.
Nakuja kubeba mwaya
 
Back
Top Bottom