LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 8,723
- 13,961
Sote tuna jua hali halisi ya hizi mvua zinazo nyesha.
Kata ya Osunyai iliyoko jiji la Arusha imekuwa chafu kiasi cha kusikitisha.
Mkandarasi alie pewa kazi ya kusomba taka amekuwa ana acha taka zaidi ya wiki tatu bila kuzi chukua.
Watoto wana chezea taka.
Ikitokea kipindupindu tuta sikia serikali ya mkoa iki toa matamko.
Nashauri tusi subiri hali mbaya.
Bwana afya wa jiji na kata fanyeni jambo kuepuka yatokanayo