Jiji la Arusha lime zidi uchafu

LESIRIAMU

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
8,723
13,961
Sote tuna jua hali halisi ya hizi mvua zinazo nyesha.
Kata ya Osunyai iliyoko jiji la Arusha imekuwa chafu kiasi cha kusikitisha.
Mkandarasi alie pewa kazi ya kusomba taka amekuwa ana acha taka zaidi ya wiki tatu bila kuzi chukua.
Watoto wana chezea taka.
Ikitokea kipindupindu tuta sikia serikali ya mkoa iki toa matamko.
Nashauri tusi subiri hali mbaya.
Bwana afya wa jiji na kata fanyeni jambo kuepuka yatokanayo
 
Majiji yote Tanzania ni machafu!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Usijali siku ya maandamano ya Chadema majeshi yatafanya usafi 🤧
 
Sote tuna jua hali halisi ya hizi mvua zinazo nyesha.
Kata ya Osunyai iliyoko jiji la Arusha imekuwa chafu kiasi cha kusikitisha.
Mkandarasi alie pewa kazi ya kusomba taka amekuwa ana acha taka zaidi ya wiki tatu bila kuzi chukua.
Watoto wana chezea taka.
Ikitokea kipindupindu tuta sikia serikali ya mkoa iki toa matamko.
Nashauri tusi subiri hali mbaya.
Bwana afya wa jiji na kata fanyeni jambo kuepuka yatokanayo
Siyo uchafu tu Arusha hakuna maji hasa Njiro siku ya saba leo, barabara mbovu hazifai ni kama hakuna serikali
 
Hapana nafikiri uliondika wakati hakuna taa za barabarani sasa hivi Tengeru hadi Ngaramtoni barabara ni 2 by 2 na zila taa. Na makutano mengi ya taa. Sema matako bar imekufa.
Sio tu mataa hata barabara nyingi ni za lami toka 2014 mabadiliko ni makubwa sana ukiachilia 1. barabara za olasiti na 2.engo ambazo ujenzi umeanza kuna 3.barabara ya East africa ile bypass haikuwepo kabisa, 4.barabara ya ungalimited kwenda dampo hadi Intel haikua na lami, 5.barabara ya ngusero, 6.barabara zote za mjini kati kutafuta ambayo haina lami ni shughuli wapambane na mashimo sasa na mvua hizi 7. Barabara ya mianzini hadi ngaramtoni kupitia seliani ujenzi unaendelea 8.barabara za kijenge juu na kijenge chini 9. Barabara ya kijenge chekereni hadi usariver kuungana na bypass 10. Bypass ya uwanja mdogo wa ndege kisongo na kuingilia uwanjani ilikua vumbi na aibu tupu kwenye mashule sasa hivi ya serikali yanajengwa magorofa, hospital ya mout meru levolosi na kaloleni zimeboreshwa, kuna hospitali kubwa mbili za serikali zimejengwa mpya muriet na njiro na hio ni serikalini tu sekrmta binafsi nako wamejenga vitu vingi sana sasa hivi tuna hadi KFC na subway hoteli kama gran melia na juzi nmeona nyingine mpya pale jengo la ngorongoro migahawa ya kimataifa kabisa kwahiyo kama changamoto zipo kama zilivyo sehemu nyingine lakini kwa hii miaka 10 tangu 2014 tuwe wakweli tu kuna jitihada kubwa sana imefanyika tayari zimeshatangazwa tenda za stendi kubwa, uwanja wa kisasa wa michezo, masoko ya kilombero na kwa mromboo na mpango wa kujenga ukumbi mkubwa wa mikutano pale themi kama unaelekea njiro pamoja na kutanua barabara ya kilombero hadi kisongo kuwa njia nne tushukuru walau kwa hayo 👏
 
  • Thanks
Reactions: Tui

Huyu mkinga Chai

Huyu mkinga ChoiceVariable hayajui haya hajafika chuga toka 2010 anababaika na mji wa serikali dodoma
 
Masoko mengi Arusha ni machafu ni kama Mazizi ya kondoo
Hili swala la uchafu kwa asilimia kubwa linasababishwa na serikali ya CCM tenda za kuzoa taka wanawapa Makada wa chama ambao hawana vitendea kazi.
 
Back
Top Bottom