Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Nahisis lazima kuna mtu alifacilitate haya yote kufanyika. Bongo sijui tunaanzia wapi??

wao paypal ndiyo wanatakiwa kuingia agreement, huenda kuna kikwazo upande wa taasisi zetu! sina uhakika lakini mkuu, nadhani tunatakiwa tuendelee kuwasumbua paypal
 
wao paypal ndiyo wanatakiwa kuingia agreement, huenda kuna kikwazo upande wa taasisi zetu! sina uhakika lakini mkuu, nadhani tunatakiwa tuendelee kuwasumbua paypal

Naona wanakaribia kunifungia. kila siku nasumbuana nao lakin wanaishia kuniambia regulations za Tanzania wanasumbua
 
Ndiyo maana mi sasa hivi naangalia ustaarabu kufungua akaunti Kenya au Rwanda, hapa Tanzania miyesyusho Mkuu tunakosa fursa!

Nilikuwa na wazo kama lako, ila nikaona kuoperate account ya Kenya ukiwa Tanzania si watakushtukia?
 
Leo nimefanikiwa kupata shipment yangu ya kwanza kati ya mbili nilizonunua online ... kwa manufaa ya wote, zoezi zima lilienda kama ifuatavyo..

Baada ya kukamilisha ku -link na paypal online Atm card yangu, tarehe 24 nikanunua earphone kwa dola 34, (free shipping ) hapa contcacts zangu wakachukua zile nilizotumia kujusajili paypal , jina langu , email adress yangu, namba yangu ya simu ie. +255...... , mkoa na mtaa , sina sanduku la posta kwa hiyo sikujaza box namba. free shipping zinatumwa through registerd mail ( 5 to 45 days) kwa hiyo baada ya kununua nikapata email kutoka kwa seller ikiwa na tracking number ,baada tu ya kununua nikapata sms kwenye simu yangu kuwa nimetoa ths 56700 , ina maana rate ya dola kwa transaction hiyo ilikuwa kama $1-tsh 1660. jana nilitumiwa sms na watu wa posta kuwa kuna rejista yangu, leo nimekwenda posta mpya na kuchukua mzigo,upo kama nilivyoagiza, bila tatizo lolote na sijalipia chochote.

tarehe hiyo hiyo nikanunua simu kupitia hapa kupitia etotalk , thamani yake iliuwa ni dola 228, hapa seller alinipa option tatu, DHl china dola 55, (2-7days delively) DHL dubai dola 42 (7-10days ) ya tatu iliuwa ni registerd airmail, dola 25 (5-45 days ). nikaopt Dhl dubai kwa hiyo gharama yote ilkawa dola 270, hapa baada ya kufanya manunuzi kupitia paypal nikapata sms ya kutoa ths 457699 kwa rate ile ile ya 1$- ths 1600, kama seller wa mwanzo alivyofanya naye akanipatia tracking number , challenge ni kuwa etotalk wapo hongkong kwa hiyo mzigo ulikuwa unapitia kwa courier agent wa huko (zj express) kwanza ,kabla ya kufika Dhl dubai. track number niliyopewa ilikuwa ya zj express ,siku tatu za kwanza nilikuwa na track kupitia huko ,mzigo ulipofika dubai nikapewa track number ya dhl, trackin inaonesha simu tayari imeshafika Dar, DHL wanafanya clearance ambayo wanasema itabidi nilipe kodi, uzuri ninayo tin number, nafikiria kama nisingekuwa nayo delays zingekuwaje, ukizingatia gharama za juu wanazochaji kusafirisha mizigo,nilitegemea shipment zao zingekuwa super fast. ila usumbufu unaojitokeza huko dhl unakula muda na kukatishaa tamaa sana , nitaendelea kuwajuza siku nitakapokamilisha zoezi hilo huko dhl.

Nimejifunza registered air mail haina usumbufu, japo challenge iko kwenye usalama wa mizigo,kwa wasio nabox namba kama mimi inabidi ukachukue mizigo posta mpya, that is, kama rejister haina box number haitoki makao makuu.
 
Naomba msaada kama kuna mtu ameshawahi kuagiza bidhaa kama tablet na PC kupitia mitandao ya ebay na amazon na je utaratibu wake unakuwaje mpaka kupata bidhaa yako hapa nchini.
 
t blj hongera sana! Kadiri unavyoendelea utapata uzoefu mwingi na itafikia mahali utapata shida sana kununua vitu huku bali online! Hasa vitu vidogovidogo!

Ila ushauri ni tafuta sanduku lako la Posta au la mtu mwaminifu halafu ujaribu kutumiwa kupitia posta uone difference!
 
Last edited by a moderator:
Inabidi uwe na account inaitwa paypal ambayo pia itabidi uwe na account ya bank yenye uwezo wa online purchase kama barclays,dtb ukiwa na account huko ndo unaweza kufungua paypall account
 
Inabidi uwe na account inaitwa paypal ambayo pia itabidi uwe na account ya bank yenye uwezo wa online purchase kama barclays,dtb ukiwa na account huko ndo unaweza kufungua paypall account

Shukuran,mean girl.......na je bidhaa huwa zinafika kwa usalama?
 
Nami pia naongezea hapo kwani napata shida sana kujua ni jinsi gani naweza kununua kitu kuptia ebay naomba Samahani sijaelewa vizuri maelekezo ya nini nifanye ili niweze agiza
 
Kuna mitandao ambayo inakuwezesha kununua bidhaa electronicaly yani kwa kutumia account yako ya benk ambayo imesajiliwa na huduma inaitwa paypal,ukiwa na hiyo account unaweza kununua chochote au hata kuuza chochote online mfano mtandao wa ebay au amazon chochote utakachonunua makato yatatoka kwenye account yako ya bank ambayo pia inabidi uwe na pesa kama vile mfano ukiwa unanunua luku kwa mpesa lazima uwe na pesa.hope maelezo yamesaidia kidogo kama unahitaji maelezo zaidi uliza tu
 
Yani wadada wachache wanakujaga hili jukwaa mpaka tunajihisi wapweke waite na wenzio wawe wanakuja kuja jamani
 
Jaman I have a QN huvi kuverify card yako katika myus.com unakatwa being gan? Cuz nimeona watakurefund and that's okay to me but kuna mtu yoyote humu amewai kuvrlerify akaona amount wanayo ichukua ili niandike waweze kuverify sabab I can't pay bila kuverify And naona kama wamesha ship mzigo wangu via FedEx wakat bado cjawalipa Hela yao eti kuna baya lolote linaweza kutokea? Cz cjawalipa Hela bado and was wameship tayari
 
Basi Card haina hela ndo maana hawajaweza kata hela lkn ile point wanaship wanakata hela yao kwenye card iwapo haina hela watakutumia email kwamaba either ukikishe card iko sahihi au uhakikishe kuna credit
 
Sawa lakin mbona wameship mzigo alaf bdo cjawalipa na nna utrack nauona unazidi sogea EMB Chek hzo screenshot
 
Back
Top Bottom