Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Wakuu vipi kuhusu bidhaa kutoka Hong Kong? Nimejaribu kucheki bidhaa kama simu za mkononi nyingi ninazokutana nazo ni from Hong Kong. So napenda kuja hizi bidhaa ndo zile za kichina au vipi?
pi napenda kujua ni kampuni gani ya usafirishaji iko vizuri ktk kuleta bidhaa hapa kwetu bongo? yani kuhusu maswala ya bei na uchukuaji wa mizigo pindi inapofika ofisini kwao. kuna usumbufu wowote au ndo vipi?
 
mwamba ngoma uvutia kwake

Umeona ee? Jamaa kaamua aipo de ebay ambayo imeshatusave sana tu halafu anajifanya yeye ndo genuine seller. Who knows kama na wewe siyo conner? Ebay iko very organised inawezekana hata yeye unanunua hukohuko ebay halafu anakuja kutupiga machanga hapa.
 
We unahitaji mini haswa...kila seller Ana conditions Zake, eBay ni safe coz wana Ike buyers and sellers protection policy.
 
Wakuu niko nafatilia haka ka Mzigo
1400421991475.jpg
Nacho taka kujua ni
1. Kwakutumia USPS mzigo unapokelewa wapi?
2. Hizo time ni za Timezone ipi

Cc.
njunwa wamavoko
Mwl.RCT
@C6
 
Last edited by a moderator:
Daaaah nimejifunza kitu na mid na nimesha download app ya eBay na nimetembelea nimeona city vying sana kilicho nishinda kila bidhaa nikiiona pale naambiwa not shipping to Tanzania apo nashindwa kuelewa .....na nipo njian ku activate my CRDB acount
 
Posta wana tabia mbaya mzgo kama hauna track wanaficha nilinununa iphone ebay nilikanyaga posta ka mwezi hivi kule aliyeniuzua ananiambia nilshatuma na imefka kuja posta holaa ahaa siku nikakomaa posta nikasema sitok hapa mpka mzgo na kweli ulikuwa umefika ka wiki!!

Sent from my iPhone 5 using JamiiForums

Kwahiyo kama huna tracks inasumbua sana?
 
Posta wana tabia mbaya mzgo kama hauna track wanaficha nilinununa iphone ebay nilikanyaga posta ka mwezi hivi kule aliyeniuzua ananiambia nilshatuma na imefka kuja posta holaa ahaa siku nikakomaa posta nikasema sitok hapa mpka mzgo na kweli ulikuwa umefika ka wiki!!

Sent from my iPhone 5 using JamiiForums

Na ulitumia njia gani kusafirisha mzigo wako?
 
shipping inategemea ni wapi mzigo unatoka, mfano mzigo unaotoka marekani na mwingine unatoka hongkong bei itakuwa tofauti, au mzigo unakuja kwa meli au kwa ndege bei zinakuwa tofauti na uwa wanazitaja,

kama huna haraka na mzigo chagua free shipping

Hivi kwa mfano ukitumiwa mzigo kwa njia ya USPS unachukulia wapi mzigo?
 
kwenye anwani uliyoandika, mostly ni posta, maana hatuna anwani tofauti

Vipi kuhusu usalama wa mzigo pindi unapofika pale posta? Nasikia huwa wanazingua sana. Ndiyo maana nakwepa free shipping ili kuepuka usumbufu huu wa posta.
 
Mkuu NingaR ni rahisi kujaribu mm nilianza na kitu cha bei chee nione ka ntatozwa ushuru na kama kitafika
Kilifika bila shida nakilinifikia mm maana,kilikuja,na jina langu na mm nkawaonesha ID yangu wakanipa

kilifikia posta? Na je vipi kuhusu makato ya posta?
 
Last edited by a moderator:
Baada ya kusoma hii mada nami nilisema ngoja nijaribu kununua kitu ebay,kwa kuanzia niliamua kununua kitu cha bei rahisi
Nilifungua account ya Paypal nikalink na account yangu ya Equity Bank then nikanza mchakato wa kuchagua kitu cha kununua.Seller niliyenunua kwake alikuwa na rating ya 96.3%

Nilibid Power bank ya 20,000mAh nikashinda kwa $16.28 ambazo ni Tshs. 28,000 ilikuwa tarehe 24/May/2014 nikalipia through paypal 28/05/2014 nikachat na Seller akaniambia" it will take 15-20 working days".Mzigo ulifika 10/06/2014 nikaenda kuchukua Posta na nikaukuta uko poa,Hakuna gharama yeyote niliyolipia Posta na item ilikuwa free shipping
Nina mpango wa kununua tablet siku za mbele
 
Thanx for the feedback. Bank haikukucharge gharama zozote kwa ajili ya transaction hiyo?
 
Back
Top Bottom