Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Just kutoa feedback jaman,tarehe 9 last month nilishukuru kwa michango ya watu kwenye hii thread na nilifanya transaction 2 kwenye aliexpress hatimaye jana nikapigiwa simu kuwa kuna barua yangu imefika lakini haina anwani(yaani p o box) nilijaza tu jina la mtaa ,mji,jina pamoja na namba ya simu.after 2 hours nilapata simu nyingine kuwa kuna mzigo umefika hii ni simu ya LG niliagiza kwenye website fastcardtech.com tarehe 11 june nao nikauchukua japo huu wa pili walidai kitambulisho na walihitaji kusain maana ni registered mail kwahiyo nasubiri tu usb moja toka aliexpress ambayo ni regular mail siwez ku itrack but walau nimepata matumaini.vifaa vyote vinafanya kaz poa kabisa.Big up chinese kwenye e-commerce wako vizuri.Kwa bigginers atleat hii itakuwa helpful kwenu.vitu yenyewe ndo hivo kwenye attachment

Hiyo LG ulichukulia katika mtandao gani? Na ni muda gani imechukua kufika dar?
 
fastcardtech.com huko ndo nilipurchase,wanakubali malipo kwa njia ya paypal na shipping ni free kwa registered airmail mimi nilinunua trh 11 june nikaipata trh 1 July pale posta dodoma.
Safi sana kaka... hongera sana
 
Naombeni Msaada kidogo Nina cmu yng Aina ya microsoft lumia 640xl ila nikijarbu ku update window ten inakubali kudownload ila kuinstooo inagoma msaada kwa anayejua
 
Mnasema mzigo mnachukulia posta mnamaanisha kwenye box lako la posta au kwenye ofisi za posta ndani hapo sijaelewa
 
Naomba kuuliza wakuu, vp kuhusu swala la kodi limekaaje? nataka kununua simu, vp mzigo unapofika, haulipiwi kodi? Lets say nataka kuagiza simu ya $400.
 
Naomba kuuliza wakuu, vp kuhusu swala la kodi limekaaje? nataka kununua simu, vp mzigo unapofika, haulipiwi kodi? Lets say nataka kuagiza simu ya $400.
Kama unatumia Aliexpress mkuu hutakatwa kodi hata senti endapo kitu utachonunua kipo under option ya 'free shipping', tofauti na ukiagiza kupitia agents like DHL or FedeX
 
Kama unatumia Aliexpress mkuu hutakatwa kodi hata senti endapo kitu utachonunua kipo under option ya 'free shipping', tofauti na ukiagiza kupitia agents like DHL or FedeX
Ina maana registered airmail ndio kulipa kodi lazima????
 
guys nna swali...kwaio kama amazon hawatumii paypal so kua refunded ni rahis sana kuliko ebay ambapo uez pokea ela ukirudshiwa au???
 
guys nna swali...kwaio kama amazon hawatumii paypal so kua refunded ni rahis sana kuliko ebay ambapo uez pokea ela ukirudshiwa au???
Yaa ukifanya malipo kwa credit card moja kwa moja nadhani ni faida wakati mwingine mfano mimi nimewahi ku cancel order ya 12USD Aliexpress baada ya siku 7 nikakuta pesa imerudi kwenye account CRDB.Nadhani hata kwa AMAZON itakuwa hivo
 
Anha thank u
 
Inaezekana kukawa na hasara pia eh???... Em nipe few bfo cja decide...
 
Namaanisha hasara kutumia credit card directly yan....bila kutumia paypal...nataka kujuzwa...
Jaribu kuopitia hee thread vizuri majibu yote yapo humu mkuu ila kwa ufupi kidogo ni kwamba Hii inategemea na sites utakayotumia,cha msingi ogopa kufanya payment kwenye sites zisizo na mfumo ulio organized/centralized kwa ajili ya malipo yaani sites ambazo individual seller anaweza ku access credit card information zako kwahiyo kuna hatari badae akazitumia kwa manufaa yake.
Sites kama Amazon,Aliexpress,Alibaba na nyingine(ambazo bado sijazifahamu) wao wanamifumo yao ya secure payment amazon payments,Alipay,Escrow respectively.
Pia online merchants nyingi kama geekbuying,gearbest,pandawill,banggood nk ni salama kwenye credit card payments nilishawahi kudokoa vitu vya gharama ndogo among hizo sites na sijawah experience tatizo.
The most important thing ni kuangalia reviews kitoka kwa wanunuaji.All the best sorry kwa maelezo marefu
 
Back
Top Bottom