Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

View attachment 355166 View attachment 355169 Jamani nashukuru sana kwa waliotoa maelekezo,nilipata challenge kubwa sana tangu last year kuwezesha DEBIT CARD yangu iweze kufanya online payment,nilianza na NBC nikajaza form wakaniambia tayari lakin kadi yangu ilizidi kuwa declined kila nilipojaribu nikaenda NMB nao wakaleta mbwembwe mara lazma niwe na akaunti ya biashara hatimaye nikafungua acc CRDB jumanne nikaernda kujaza form ya maombi jana nikatumiwa sms kuwa kadi yangu imewezeshwa natakiwa niende kwenye website yao ili nijiunge na huduma ya verified by visa nikakamilisha.Leo asubuhi nimethubutu kuingia aliexpress nikaanza kujaribu USB OTG cable kwa 1.5USD na USB cable nyingine kwa 0.9USD zote zina free shipping nikazilipia badae order zikawa zimeandikwa payment succesful nisubiri 24 hrs for verification,nmimeingia jion hii nikaona payment verified na order imeandikwa awaiting shipment wacha nione kwanza itakavokuwa.Shukrani kwa wote waliotoa michango chanya na kututia moyo amateurs.najaribu ku attach screenshot napata error nikiweza nitaiweka
Mkuu hiyo Aliexpress hawahitaji mambo ya paypal?
 
Hapana mr,hawa wana mfumo wao wa malipo unaitwa Alipay,ni salama pia.Mimi nimefanya malipo leo kabla sijafuata hata bank statement kwa ajili ya ku comfirm card kwenye paypal.Kwa Aliexpress card ikishawezeshwa tu na Bank yako husika,you are good to go.Hivi ndivo order yangu inavoonekana kwa sasa
 
Attachments

  • ORDER.2.jpg
    ORDER.2.jpg
    77.4 KB · Views: 127
Na mi hii nahitaji kununua Online but nashindwa Nitumie benki gani na jinsi mzigo utakvyosafiri
MSAADA TAFADHALI!!
Swali kama hilo niliwahi jiuliza hata mimi nyakati hizo zilizopita, sasa take your time anza kusoma huuuzi toka mwanzo and that what I did na sasa nimeelewa naagiza vitu na vinafika hadi ninapotaka vifike.
 
Mkuu asante sana kwa feedback.
Nimeona umenunua case ya LG Nexus 5x, vipi simu ulinunulia hapa bongo ama uliagiza online?
Mi niko kwenye harakat za kuiagiza kutoka ebay
Bila tabu huyu ndio nimenunulia USB c cable Check out this recommended store on AliExpress. Find great products at low prices!
Wireless Technology - Small Orders Online Store, Hot Selling and more on Aliexpress.com | Alibaba Group
(from AliExpress Android)

Huyu seller sielewi after order yangu atumitena Tanzania
68d1ba20810c03f18a7bd4d7e61492b5.jpg

b65399f42be2a97e97e5dc07f9565001.jpg

Huyu hapa nimenunua Tempered glass Check out this recommended store on AliExpress. Find great products at low prices!
24 hours Service + Fast Shipping + Evan Trade Co,.Ltd. - Small Orders Online Store, Hot Selling premium glass bottles,glass aluminum,premium ink and more on Aliexpress.com | Alibaba Group
(from AliExpress Android)

9d12a747253f0eb008dbc47371b9eaca.jpg

Kwa sasa nasubiria hizi headphones nataka kuangalia kama na hizi free shipping zitafika haraka kama za kulipia

042b035b60d490dfc200297a9f96c6ad.jpg
 
Mkuu asante sana kwa feedback.
Nimeona umenunua case ya LG Nexus 5x, vipi simu ulinunulia hapa bongo ama uliagiza online?
Mi niko kwenye harakat za kuiagiza kutoka ebay
Simu hii niliagiza pia eBay. Sema ukweli camera yake ni funika especially kwenye usiku yani pale haina mpinzani hata S7 inakaa.

Sema even though kwa sasa ni cheap ningekushauri usubiri kwanza ucheki nexus za mwaka huu zita kuwaje. Maana simu yenyewe iliniletea issues kidogo za screen flickering nikabidi niuze.
 
Nimepitia review nyingi za hii simu na kwa kweli nmeipenda sana. Ningesubiri za mwaka huu ila nahofia bei zitakuwa juu na mimi sitaki kuspend zaid ya $400 plus shipping. nimeamua tu nichukue hii.

Je ni kweli kwamba ina lag sana?
 
Kwa 400$ ungetulia ukapata Nexus 6p 32gb but 5x sio mbaya maana naona kwa sasa zimeshuka hadi below 290$.

Na tokea update ya March hivi nadhani.. Tatizo la lag pamoja na yellow display lilikuwa fixed yani ile simu sijawahi kuona stutter yoyote kwenye switching apps.
 
Simu hii niliagiza pia eBay. Sema ukweli camera yake ni funika especially kwenye usiku yani pale haina mpinzani hata S7 inakaa.

Sema even though kwa sasa ni cheap ningekushauri usubiri kwanza ucheki nexus za mwaka huu zita kuwaje. Maana simu yenyewe iliniletea issues kidogo za screen flickering nikabidi niuze.

Samahani mkuu, kuna sehemu ebay ukitaka kununua kitu kuna, buy now, order na watch. Hiyo wach ina maana gani?
 
Samahani wakuu najua nachouliza kinaweza kuwa humu humu ila kwa km utakuwa unajua nisaidie tu. Namna ya kujaza hapo
-street 1
-postal code
-city
-state/province/Region
 
Attachments

  • 1466657908026.jpg
    1466657908026.jpg
    27.9 KB · Views: 119
Samahani mkuu, kuna sehemu ebay ukitaka kununua kitu kuna, buy now, order na watch. Hiyo wach ina maana gani?
Kwenye watch ni kwamba kuna labda bidhaa umeipenda lakini Huna ela hiyo kwa sasa au unasubiri ipungue bei kwaiyo unaiweka kwenye hiyo sehemu ya watch ilikuifuatilia mpaka ifike bei unayoitaka wewe.
 
Kwenye watch ni kwamba kuna labda bidhaa umeipenda lakini Huna ela hiyo kwa sasa au unasubiri ipungue bei kwaiyo unaiweka kwenye hiyo sehemu ya watch ilikuifuatilia mpaka ifike bei unayoitaka wewe.

Shukrani mkuu, ila nina ombi lingine hapo juu nahitaji msaada
 
Samahani wakuu najua nachouliza kinaweza kuwa humu humu ila kwa km utakuwa unajua nisaidie tu. Namna ya kujaza hapo
-street 1
-postal code
-city
-state/province/Region

-street 1 andika Sanduku la posta unayoitumia mfano P. O. Box 12345
-postal code andika +255 (au tafuta postal code ya eneo lako hapa Postcode List
-city andika Dar-es-Salaam
-state/province/Region andika Tanzania
 
Samahani wakuu najua nachouliza kinaweza kuwa humu humu ila kwa km utakuwa unajua nisaidie tu. Namna ya kujaza hapo
-street 1
-postal code
-city
-state/province/Region
Lakini uwe unasoma mwanzo kwanza mpaka tuliko,kwa msaada street 1 jaza jina la kata kisha street 2 jaza jina la mtaa ndivyo nilivyojaza na ninapata mzigo mie.
 
Just kutoa feedback jaman,tarehe 9 last month nilishukuru kwa michango ya watu kwenye hii thread na nilifanya transaction 2 kwenye aliexpress hatimaye jana nikapigiwa simu kuwa kuna barua yangu imefika lakini haina anwani(yaani p o box) nilijaza tu jina la mtaa ,mji,jina pamoja na namba ya simu.after 2 hours nilapata simu nyingine kuwa kuna mzigo umefika hii ni simu ya LG niliagiza kwenye website fastcardtech.com tarehe 11 june nao nikauchukua japo huu wa pili walidai kitambulisho na walihitaji kusain maana ni registered mail kwahiyo nasubiri tu usb moja toka aliexpress ambayo ni regular mail siwez ku itrack but walau nimepata matumaini.vifaa vyote vinafanya kaz poa kabisa.Big up chinese kwenye e-commerce wako vizuri.Kwa bigginers atleat hii itakuwa helpful kwenu.vitu yenyewe ndo hivo kwenye attachment
ulitumia njia gani kulipia ?
 
Back
Top Bottom