Jicho la tatu; Utekwaji nyara Dr Ulimboka, hata makampuni binafsi ya ulinzi yanaweza tumiwa.

Kinyaaaa!!!!!!!!!!!

Naona CCM mko bize kufanya Shopping for a POSSIBLE CRIMINAL ON-SALE to come and stand in for you guys presumably at a pay lakini katika hili la Dr Ulimboka ...!!!!

Si kila unapotoa hoja ya kupingana na maoni ya pro CDM basi unakuwa C CM. Ukiambiwa utoe sababu za msingi za serikali kutaka kumuua Dr Ulimboka hali ya kuwa kuna mamia ya madaktari utatoa sababu ipi? Ushabiki wa kijinga kama huu unatupeleka mbali na wauaji.
 
serikali inahusika mojakwa moja hakuna cha jicho la sita wala la 40, MZEE WA MEE KAMWAGA DAMU YA DR ULI
 
Huu ushabiki wa siasa unatepeleka pabaya kiasi cha kupooza akili zetu. Mjinga yeyote lazima afikirishe akili yake kwa upeo mfupi kama wewe. Bando hakuna mantiki na msingi wa serikali kuhusika moja kwa moja, wengi mnatawaliwa na hisia za kisiasa zaidi kuliko kutafuta ukweli.

hujui hata unaongea nini naona unaropoka tu kwa jazba.Ila kwa hili mmekwama
 
Hisia za kisiasa ushabiki wa kivyama, na chuki dhidi ya serikali ikizidi namna hii ni udhaifu mkubwa, pengine maadui wa Dr Ulimboka waliofanya tendo hilo wakisikia kauli zenu za kuangalia upande mmoja wanafurahi na kujiona washindi.

Nimeishakuambia unahangaika sana
 
Nimeishakuambia unahangaika sana
Sihangaiki, wala sina jazba. naona kuwa ni utoto kupeleka tuhuma moja kwa moja kwa serikali wakati upo uwezekano kwa watu binafsi kuhusika kwa maslahi yao. sidhani kama Dr Ulimboka alikuwa hatari kwa serikali kiasi cha kutaka kumuua. Nadhani wote wenye fikra mgando kama wewe na kuelekeza shutuma upande mmoja bado mna mawazo ya kale katika vichwa vyenu.
 
Ok, wewe mwenye fikra mchemsho
 
Back
Top Bottom