Jicho la Mungu vs Mwanadamu

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,833
217720_407440889320461_423677745_n.jpg
 
kwa hiyo unataka kutuambia kuwa kuvaa ka-suruali ka kubana na nyodo za kike ni kipimo tosha cha jehunum au ahera??

vipi kama huyu aliyevaa hijabu ni mzinifu mnafiki, mshirikina/mwanga??, mungu huangalia moyo si kama mwanadamu aangaliaye lipstick, wanja, wigi, pedo, vitopu, nokia ya tochi na menginyo ya kipuuzi.....
 
NANI KAKUDANGANYA

Mbinguni hatuendi kwa Mavazi!! Bali Roho safi.

YESU ALIWAHUBIRIA HADI MALAYA...

ali hubiri nini?

aliwaambia musali lkn muuze miili yenu?

mungu anapenda vimini ? muendele kuvaa hivo na mumche mungu?

kwanza nikusafisha ndani alafu uje nje.

eti inawezekana muumini wa kweli awe mchafu madhabi ya kutamanisha watu na kuuza mwili wake kwa mavazi machafu ?
 
Mie napita kushoto bana kulia naona kama kuna moto jamani,kushoto naona na malaika wapo. By the way napita tuu waungwana.
 
Nazjaz, hayo mavazi (hijab) na matendo mema ndio yanakupeleka peponi. Usihukumu watu kutokana na mavazi tu.
 
Last edited by a moderator:
ali hubiri nini?

aliwaambia musali lkn muuze miili yenu?

mungu anapenda vimini ? muendele kuvaa hivo na mumche mungu?

kwanza nikusafisha ndani alafu uje nje.

eti inawezekana muumini wa kweli awe mchafu madhabi ya kutamanisha watu na kuuza mwili wake kwa mavazi machafu ?

Raha ni pale makahaba na wauza miili aka changudoas wanapokamatwa na kufikishwa mahakamani kwa kosa la uzembe na uzururaji majina yao utasikia,Zuhura,Asha,Hamida,Mwanahamisi Zainabu,Amina,Hadija,na mengi ya jamii hiyo....
 
Hilo jicho la Mungu liko wapi? Mbona mimi silioni?

Mkuu uko sawa kabisa binadamu kwa macho yao wanaona na kuamini kabisa kuwa aliyejifunika namna hiyo basi ataiona pepo,wanasahau kuwa Mungu hatazami mavazi yako bali ni usafi wa Roho yako.Niliwahi kutembelea Zanzibar mwaka1993 na sikuamini binti niliyemuona amejifunika hivyo mchana,ilipofika usiku nikamkuta mtaani anajiuza,sasa sijui mchana mungu wake alikuwa macho nausiku mungu wake amelala hivyo hamuoni..??
 
Kuna mmoja alijisitiri vizuri akaenda kudokoa sadaka msikitini.
Kwa habari kamili muulize Gea Habib
 
Raha ni pale makahaba na wauza miili aka changudoas wanapokamatwa na kufikishwa mahakamani kwa kosa la uzembe na uzururaji majina yao utasikia,Zuhura,Asha,Hamida,Mwanahamisi Zainabu,Amina,Hadija,na mengi ya jamii hiyo....

ala naona mumeokoka hahaha kwani mimi nasema waislamu wote ni SAFI?

kwetu iringa nasikia maria,gresi,gloria,happy vp hapo?
 
Mkuu uko sawa kabisa binadamu kwa macho yao wanaona na kuamini kabisa kuwa aliyejifunika namna hiyo basi ataiona pepo,wanasahau kuwa Mungu hatazami mavazi yako bali ni usafi wa Roho yako.Niliwahi kutembelea Zanzibar mwaka1993 na sikuamini binti niliyemuona amejifunika hivyo mchana,ilipofika usiku nikamkuta mtaani anajiuza,sasa sijui mchana mungu wake alikuwa macho nausiku mungu wake amelala hivyo hamuoni..??

tatizo akili za kukopeshwa ndio zinawasumbua

kuna point mbili hapa

1) huwezi kuwa unamwogopa mungu kwa kuvaa mavazi mabaya,na huwezi kuona muumini wa kweli kavaa kimini alafu anakuambia mungu haangalii mavazi bali moyoni.basi kama mungu anaangali moyoni tungemwona bi maria katuvalia kimini na kijeans

2)si katai kama mavazi sio imani kamili,bali imani huwa moyoni kisha kwenye mwonekano wa nje.mtu mchafu ni mchafu tu akitaka kufanya dhambi atafanya popote kanisani/msikitini hajali awe amevaa mavazi ya masister wa kanisani au mapadri na masheikh.

lkn tujue kuwa mavazi ya kujistiri mwili vizuri ni moja ya kitambulisho muhimu sana kwa muumini wa KWELI,

huwezi kumwona dada kaingia kanisani na bikini alafu anakuambia mungu haangalii nje anaangalia ndani tu,kweli huyu anamwogopa mungu ?
 
hapo kwenye red ndo akili zako
 
MadameX mbona sijahukumu mtu? Nimeleta huu uzi ili kila mtu auchangie kwa jicho lake, lakini jicho la Mungu litajulikana siku ya kiama

Back
Top Bottom