Mungu na dini ni vitu viwili tofauti. Mungu hasomi wala haandiki

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,891
155,889
Mungu ni asili, yeye ndiyo chanzo cha vyote vinavyoonekana na visivyo onekana.
Ili Mungu akure maarifa, hana haja ya kukuandikia kiatabu.

Jiulize maarifa makubwa waliyonayo wanyama mbalimbali, wameyasoma kwenye kitabu gani kitakatifu?

Mungu yupo, hasomi, haandiki, wala hana dini. Dini ni mpango wa mwanadamu. Dini imejaa vitisho, Mungu hana haja ya kumtisha mtu.

Dini zimeenezwa kwa kufanya mauaji makubwa. Mungu wetu anachukia mauaji.

Dini ni mpango halisi wa shetani, kuwadanganya watu, wajione wanamfuata Mungu kumbe wako maili nyingi sana na mpango wa Mungu kwa mwanadamu.

Kama dini haiwezi kukupeleka Kariakoo, itawezaje kukupelela mbinguni?

Ukiweza kumpenda jirani yako kama nafsi yako mwenyewe wewe utakuwa bora kuliko mtu anayesali kuanzia asubuhi hadi usiku wa manane.

Upendo ndio kusudi la mwanadamu kuwepo duniani. Tukipendana kwa dhati, dunia ndio Paradiso yenyewe.
 
Mungu ni asili, yeye ndiyo chanzo cha vyote vinavyoonekana na visivyo onekana.
Ili Mungu akure maarifa, hana haja ya kukuandikia kiatabu.

Jiulize maarifa makubwa waliyonayo wanyama mbalimbali, wameyasoma kwenye kitabu gani kitakatifu?

Mungu yupo, hasomi, haandiki, wala hana dini. Dini ni mpango wa mwanadamu. Dini imejaa vitisho, Mungu hana haja ya kumtisha mtu.

Dini zimeenezwa kwa kufanya mauaji makubwa. Mungu wetu anachukia mauaaji.

Huu ni uchokozi,

Umetengeneza imani yako kwa msingi wa imani ya wenzako.

Wenzako wamekuja na idea hyo ya Mungu, wakaleta idea ya shetani wakaleta idea ya Paradiso

Pia hata mawazo baadhi kuhusu sifa za Mungu umetumia idea zao.

Hapo kwakweli utaleta mtafaruku mkubwa.

So far huwezi thibitisha uwepo wa huyo Mungu wako.
Can you prove that...??
 
Mungu ni asili, yeye ndiyo chanzo cha vyote vinavyoonekana na visivyo onekana.
Ili Mungu akure maarifa, hana haja ya kukuandikia kiatabu.

Jiulize maarifa makubwa waliyonayo wanyama mbalimbali, wameyasoma kwenye kitabu gani kitakatifu?

Mungu yupo, hasomi, haandiki, wala hana dini. Dini ni mpango wa mwanadamu. Dini imejaa vitisho, Mungu hana haja ya kumtisha mtu.

Dini zimeenezwa kwa kufanya mauaji makubwa. Mungu wetu anachukia mauaaji.

Dini ni mpango halisi wa shetani, kuwadanganya watu, wajione wanamfuata Mungu kumbe wako maili nyingi sana na mpango wa Mungu kwa mwanadamu.

Kama dini haiwezi kukupeleka Kariakoo, itawezaje kukupelela mbinguni?

Ukiweza kumpenda jirani yako kama nafsi yako mwenyewe wewe utakuwa bora kuliko mtu anayesali kuanzia asubuhi hadi usiku wa manane.

Upendo ndio kusudi la mwanadamu kuwepo duniani. Tukipendana kwa dhati, dunia ndio Paradiso yenyewe.
Daima namshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai, maisha, afya na nguvu. Hakika yeye ndio sababu ya maisha na uhai wangu, Furaha na kila kitu changu...

Yeye ni kimbilio la unyonge na mahangaiko yangu, huruma yake daima ni Faraja yangu...

dini, madhehebu na mambo mengine yanayofanana na hayo ni katika kumtafuta Mungu na kutamani kumtumikia, kumsifu, kumuabudu na kumshukuru 🐒

Hata hivyo whether tunakosea ama tuko sahih yeye ndie anajua
sisi sote ni waja wake na kwake tutarejea kila moja kwa wakati wote...

Ramadhan Karim 🐒
 
Ramadhan Kareem
 
dini, madhehebu na mambo mengine yanayofanana na hayo ni katika kumtafuta Mungu na kutamani kumtumikia, kumsifu, kumuabudu na kumshukuru

Hata hivyo whether tunakosea ama tuko sahih yeye ndie anajua
sisi sote ni waja wake na kwake tutarejea kila moja kwa wakati wote...

Ramadhan Karim
Idoma!
 
Mungu ni asili, yeye ndiyo chanzo cha vyote vinavyoonekana na visivyo onekana.
Ili Mungu akure maarifa, hana haja ya kukuandikia kiatabu.

Jiulize maarifa makubwa waliyonayo wanyama mbalimbali, wameyasoma kwenye kitabu gani kitakatifu?

Mungu yupo, hasomi, haandiki, wala hana dini. Dini ni mpango wa mwanadamu. Dini imejaa vitisho, Mungu hana haja ya kumtisha mtu.

Dini zimeenezwa kwa kufanya mauaji makubwa. Mungu wetu anachukia mauaaji.

Dini ni mpango halisi wa shetani, kuwadanganya watu, wajione wanamfuata Mungu kumbe wako maili nyingi sana na mpango wa Mungu kwa mwanadamu.

Kama dini haiwezi kukupeleka Kariakoo, itawezaje kukupelela mbinguni?

Ukiweza kumpenda jirani yako kama nafsi yako mwenyewe wewe utakuwa bora kuliko mtu anayesali kuanzia asubuhi hadi usiku
Mungu haandiki, lakini hapa ume quote maandiko
basi sawa tupendane
wa manane.

Upendo ndio kusudi la mwanadamu kuwepo duniani. Tukipendana kwa dhati, dunia ndio Paradiso yenyewe.
 
Labda nikuulize huyo Mungu wewe ulimjua tu mwenyewe uwepo wake( kama ulivyojua kunyonya titi la mama) au uwepo wa anayeitwa Mungu ulijua kupitia watu?
Mbona hiyo rais,kwa mfano mimi niligundua mungu yupo baada ya kumuona binaadamu,simu zipo kwa kuwa kuna viwanda,na binaadamu yupo kwa kuwa kuna mungu,zaidi ya hapo tunalishwa matango pori,mara oh yesu atarudi,kwa mateso yale na vipigo arudi kufuata nini huku,mara ohh fungeni msile,we nani kakwambia kuacha kula ndo afya
 
Yani umuone tu binaadamu ndio ugundue kuna Mungu ki vipi yani hebu fafanua? Labda useme kwa kumuangalia binaadamu kunakufanya uzidi kuamini uwepo wa Mungu(kitu ambacho umekijua kupitia watu) na si kwamba et kuona tu binaadamu ndio moja kwa moja ugundue kuwepo Mungu na yenye kumhusu huyo Mungu.
 
Back
Top Bottom