Utabiri: Simba na Yanga wote watasare michezo yao ya CAF champions league

Huu ndio utabiri wangu simba na yanga wote watasare michezo yao, kulingana na wapinzani wanaocheza nao nimetizama kwa jicho la kiufundi sion hata mmoja wao akichukua alama zote tatu.

Asec vs simba 0 - 0ft

Yanga vs belouzdad 1 - 1 ft
Wananchi usitufananishe na Kolo,sisi tuna uhakika wa point tatu,kwa CR Bulloizedad na wakizubaaa wanatoka na hamsaaa🤚.
 
Back
Top Bottom