ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 397
- 1,398
Kuna watu humu ndani wamekuja na hoja mbalimbali za ndoto na kutafsiri ndoto
Biblia imeeleza waziwazi kwamba hakuna mwanadamu mwenye uwezo wa kutafsiri ndoto
Tujifunze kisa cha Yusufu kwa Pharaoh na Daniel kwa Nebuchadnezzar. Hao wote wawili waliwaeleza wafalme kwamba hakuna mwanadamu mwenye uwezo wa kutafsiri ndoto.
Ndoto ni fumbo na ndoto zinatokana na vyanzo vitatu
1) Shetani
2) Mungu
3) Ubongo wako
Kama umeota ndoto kutoka kwa Mungu, yeye mwenyewe atakupa tafsiri. Usihangaike kuuliza watu.
Kama ni shetani wewe kemea tu kwa jina LA Yesu. Ndoto za shetani zinaambatana na vitisho.
Ndoto kutoka kwa Mungu huwa zinaambatana na
1) maonyo
2) maelekezo
Tena ukiota huwa unaamshwa hapohapo na unaikumbuka yote kwasababu inakuwa na muhuli.
Nimekupa maelekezo kuhusu ndoto usidanganywe tena