acha kudanganya watu wewe na hiyo secret service yako. kabla ya kuwa mbunge alikuwa chairperson wa tanzania association of tour operators (TATO) na bado anaendelea na hiyo kazi. hapo ccm wilayani ndio zilipo ofisi za TATO. acha imani potofu.

wewe ni mfitini ulitaka aende wapi? akiwa Arusha hapo ccm wilaya ndio ofisi yake ya TATO ilipo na hata jana alikuwa hapo na sikuzote akiwa hapa huwa hapo, toa hoja yako nini Mpangishe chumbani kwako sasa ili asiende hapo
Sawa mazee wa Source:secret service agent based in Arusha.Haya tujuze Zitto alikuwepo? na wabunge wetu wamegawana vipi kati ya waliokwenda Moshi na Walio baki hapa kuhitimisha zoezi la kuwalaza mashujaa wetu maana unaonekana uko karibu sana,(Mterijensia waukweli)
wewe ni mfitini ulitaka aende wapi? akiwa Arusha hapo ccm wilaya ndio ofisi yake ya TATO ilipo na hata jana alikuwa hapo na sikuzote akiwa hapa huwa hapo, toa hoja yako nini Mpangishe chumbani kwako sasa ili asiende hapo
Mh yule ana ofisi mbili za kufanyia kazi pale ofisi za CCM na binafsi ninafahamu anavyotukana na ccm miaka nenda rudi maana yeye alikuwa anapambana na ccm kwa miakan mingi sana na si wa leo yule
Anafanya ofisi ya TATO na Yake ya Uwakili
Acha na wewe secret services za kijinga. Maana yake kama ni secret service uwe unakamilisha details. Sawa bro.
punguza ushabiki ndugu.wakati watu wanaelekea kwenye mazishi is it fair?
mbunge wa mbulu mh.mustafa akoonay ameonekana live akiingia kwenye jengo la ccm wilaya ya arusha.hii ni baada ya kutoka kwenye viwanja vya nmc majira ya saa 1640hrs.
Je huu ni usaliti?
Source:secret service agent based in arusha.