Jicho la kijasusi

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
Mbunge wa mbulu Mh.Mustafa Akoonay ameonekana live akiingia kwenye jengo la CCM wilaya ya Arusha.hii ni baada ya kutoka kwenye viwanja vya NMC majira ya saa 1640hrs.
Je huu ni usaliti?

Source:secret service agent based in Arusha.
 
acha kudanganya watu wewe na hiyo secret service yako. kabla ya kuwa mbunge alikuwa chairperson wa tanzania association of tour operators (TATO) na bado anaendelea na hiyo kazi. hapo ccm wilayani ndio zilipo ofisi za TATO. acha imani potofu.
 
Thanx fort the clarification, otherwise ----------
 
acha kudanganya watu wewe na hiyo secret service yako. kabla ya kuwa mbunge alikuwa chairperson wa tanzania association of tour operators (TATO) na bado anaendelea na hiyo kazi. hapo ccm wilayani ndio zilipo ofisi za TATO. acha imani potofu.

uwongo wangu ukowapi?point ni kwamba ameingia hapo niliposema.je leo yuko kazini?
 
wewe ni mfitini ulitaka aende wapi? akiwa Arusha hapo ccm wilaya ndio ofisi yake ya TATO ilipo na hata jana alikuwa hapo na sikuzote akiwa hapa huwa hapo, toa hoja yako nini Mpangishe chumbani kwako sasa ili asiende hapo
 
Mh yule ana ofisi mbili za kufanyia kazi pale ofisi za CCM na binafsi ninafahamu anavyotukana na ccm miaka nenda rudi maana yeye alikuwa anapambana na ccm kwa miakan mingi sana na si wa leo yule

Anafanya ofisi ya TATO na Yake ya Uwakili

Acha na wewe secret services za kijinga. Maana yake kama ni secret service uwe unakamilisha details. Sawa bro.
 
kwa hiyo wabunge wengine wote wa CDM wamerudi maofisini kwao?ufitini unatoka wapi hapa.its better tukajua nyendo za viongozi wetu.
 
Sawa mazee wa Source:secret service agent based in Arusha.Haya tujuze Zitto alikuwepo? na wabunge wetu wamegawana vipi kati ya waliokwenda Moshi na Walio baki hapa kuhitimisha zoezi la kuwalaza mashujaa wetu maana unaonekana uko karibu sana,(Mterijensia waukweli)
 
agents wangu wanareport strange activities and not everything
 
wewe ni mfitini ulitaka aende wapi? akiwa Arusha hapo ccm wilaya ndio ofisi yake ya TATO ilipo na hata jana alikuwa hapo na sikuzote akiwa hapa huwa hapo, toa hoja yako nini Mpangishe chumbani kwako sasa ili asiende hapo

mmemkomesha kabisa. Kwisha habari yake udaku udaku tu.
 
Mh yule ana ofisi mbili za kufanyia kazi pale ofisi za CCM na binafsi ninafahamu anavyotukana na ccm miaka nenda rudi maana yeye alikuwa anapambana na ccm kwa miakan mingi sana na si wa leo yule

Anafanya ofisi ya TATO na Yake ya Uwakili

Acha na wewe secret services za kijinga. Maana yake kama ni secret service uwe unakamilisha details. Sawa bro.

unataka details zaidi?nipm nikupe namba za gari lililomshusha getini na mambo mengineyo.
 
mbunge wa mbulu mh.mustafa akoonay ameonekana live akiingia kwenye jengo la ccm wilaya ya arusha.hii ni baada ya kutoka kwenye viwanja vya nmc majira ya saa 1640hrs.
Je huu ni usaliti?

Source:secret service agent based in arusha.

badilisha jina.

Jack bauer huwa hakurupuki.
 
Back
Top Bottom