JF women and all others

Dah!!!! I love them too them ladies ngoja nitafute kawimbo special for this weekend

Alafu Saas mie nitakushtukia na hizi Threads za PA... I hope you are male for The Finest is spoken for.....lol
 
Tf ndo tabia gani kurudisha poster za zamani hapa..... ofisini kwangu haraka
Usnifanye nkuite mara ya kumi na mbili.
 
Alafu Saas mie nitakushtukia na hizi Threads za PA... I hope you are male for The Finest is spoken for.....lol
Dah!!!! Halafu hii thread ya mwaka huyu Saas sijui kaitoa wapi aisee

Tf ndo tabia gani kurudisha poster za zamani hapa..... ofisini kwangu haraka
Usnifanye nkuite mara ya kumi na mbili.
Dah!!! Nakuja mama nakuja mama
 
Hahaha!!! Dada yangu huyu jamaa huwa namkubali sana post na thread zake

Inapendeza saana Saas (hata mimi namkubali saaana - hasa kuna threads kuhusu ndoa the last two... Superb!) So... wewe ulimfahamu wakati ukiwa kama guest eeeh?? lol ... Maana naona mwenzetu mgeni.... Karibu saaana... Mie ndo uhakikisha huyu kijana yupo ndani ya Mstari....
 
Dah!!!! Halafu hii thread ya mwaka huyu Saas sijui kaitoa wapi aisee

Dah!!! Nakuja mama nakuja mama

PA wasi wasi wangu ndio ulikuja hapo... Kua isije ikawa ka fall (na you are already spoken for) naona anatembelea saaana your Profile...lol
 
uzuri mapenzi hayazeeki,hayapauki wala kuchakachuka. im hereby launching my claim. eagerly waiting...
Most welcomed <img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/A S-rose.gif" border="0" alt="" title="A S Rose" smilieid="84" class="inlineimg" /><img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/A S-rose.gif" border="0" alt="" title="A S Rose" smilieid="84" class="inlineimg" />
<br />
<br />
 
Halafu Kaizer sijui analinda nini hapo chini lol!!!!!

tatizo TF unauliza the Obvious..hujamwona love apa kwani..

Halafu huyu Saas sijui Salad (kuna mtu ananitengenezea leo some salads, sorry) alibisha hodi kweli apa jukwaaani mbona kama simfahamu...au ODM alimrubuni akifikiri ni She? hebu mwongozo apo TF
 
Finally hapo siongezii chochote atakuja mwenyewe, sijui Saas alibisha hodi au aliruka geti tu na kuingia itabidi tuchunguze
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom