JF women and all others

tatizo TF unauliza the Obvious..hujamwona love apa kwani..

Halafu huyu Saas sijui Salad (kuna mtu ananitengenezea leo some salads, sorry) alibisha hodi kweli apa jukwaaani mbona kama simfahamu...au ODM alimrubuni akifikiri ni She? hebu mwongozo apo TF


Oh! Sweetie......
 
Kwa haya maelezo naamini kuwa wewe unatumikia BAN na umekuja na ID nyingine maana join date na haya maelezo ni tofauti

Utetezi wake utakuwa kwamba alikuwa anaagaliaga tu basi sasa 'amevutiwa' akajiunga lol
 
Love...I am just letting them know why am here...mwone huyi PA hapa chin:



Tulia tulia...apo wakubwa wako kazini lol...(si tumekutuma dukani lakini mbona huendi?)

Ha ha ha ha Kaizer bana nimecheka mpaka nimezimia ha ha ha ha
 
Love...I am just letting them know why am here...mwone huyi PA hapa chin:



Tulia tulia...apo wakubwa wako kazini lol...(si tumekutuma dukani lakini mbona huendi?)

I know lov'.... I know...... (alafu PA hana ujanja wa kuenda dukani hali kaharibu... kaitwa ofisini)
Hahahaha!!!! Ngoja niende aisee yaani ukiwa wa mwisho kuzaliwa kwenye familia dah
 
Hahaha!!!! Leo niko kwangu nikitoka naenda kufanya mazoezi tu halafu narudi

Nimeona status ya walimu wa mazoezi na wa massage parlour angalia usifall into their trap maana gym na salon na massage parlour siku hizi zina vyumba kwa watu single kama wewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom