JF women and all others

Mkulu sasa unanifanya nianze kuhunt oldies kwa nguvu zote maana huwa zinanipa good memories
mie nazo ila sio nyingi sana na pia nina song karibu zote za Heavy D, Craig Mark, Tupac, R. Kelly, Biggie Small, Bob Marley ila nina baadhi ya nyimbo za hao niliowataja hapo juu na pia nina ile albam ya kwanza ya Ahaliyah aliyeimba na R.Kelly pamoja na nyingine nyingi tu ambazo ni common
 
Poa ngoja nikutumie PM and see what we can do
 
As usual and always and forever:A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose: never let you down

Mkuu naona umeandaa mazingira ya week end. Baada ya kumwimbia huo wimbo uanweza kuendelea na shughuli za club kwa karibi mwaka mzima.

Hii dose naona once per year (sijui hapa madakata wataanikaje?...1/365 au ??)

Ni muhimu kuwapa heshima yao kila siku kwani bila wao hakuna maisha. Kazi utafanya za nini na dunia itakuwa ya nini?
 
With compliments to The Finest.....
"mi naongezea tu!!"

UNBELIEVABLE - CRAIG DAVID

Always said I would know where to find love,
Always thought I'd be ready and strong enough,
But some times I just felt I could give up.
But you came and changed my whole world now,
I'm somewhere I've never been before.
Now I see, what love means.

[Chorus]
It's so unbelievable,
And I don't want to let it go,
Something so beautiful,
Flowing down like a waterfall.
I feel like you've always been,
Forever a part of me.
And it's so unbelievable to finally be in love,
Somewhere I'd never thought I'd be.

In my heart, in my head, it's so clear now,
Hold my hand you've got nothing to fear now,
I was lost and you've rescued me some how-.
I'm alive, I'm in love you complete me,
And I've never been here before.
Now I see, what love means.

[Chorus]

When I think of what I have, and this chance I nearly lost,
I cant help but break down, and cry.
Ohh yeah, break down and cry.

[Chorus]

Now I see, what love means
 
Mkuu naona umeandaa mazingira ya week end. Baada ya kumwimbia huo wimbo uanweza kuendelea na shughuli za club kwa karibi mwaka mzima.

Hii dose naona once per year (sijui hapa madakata wataanikaje?...1/365 au ??)

Ni muhimu kuwapa heshima yao kila siku kwani bila wao hakuna maisha. Kazi utafanya za nini na dunia itakuwa ya nini?

Mkuu unatimizaji wajibu kwanza unaondoa mianya yote ya evidence hata mwanasheria akija ngoma inamshinda
 
Mkuu unatimizaji wajibu kwanza unaondoa mianya yote ya evidence hata mwanasheria akija ngoma inamshinda

Kweli mkuu.

Bila infii nadhani hii dunia yote ingekuwa ni JANGWA!!

Hivi huyu dogo Teamo kakamatiwa wapi? Unajua anaweza kuvunja sheria kwa kuzamia....LOL
 
Kweli mkuu.

Bila infii nadhani hii dunia yote ingekuwa ni JANGWA!!

Hivi huyu dogo Teamo kakamatiwa wapi? Unajua anaweza kuvunja sheria kwa kuzamia....LOL
kaka naomba unitumie namba zako nikupigie....!
nina zantel
 
Kweli mkuu.

Bila infii nadhani hii dunia yote ingekuwa ni JANGWA!!

Hivi huyu dogo Teamo kakamatiwa wapi? Unajua anaweza kuvunja sheria kwa kuzamia....LOL

Alikuwa anafanya warm up si unajua mechi bila warm up unaweza kukuta timu inafungwa goli 7
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom