JF wamo wanaopenda ?????????????????????

Peeeeeennnnny my shem.....siyo vizuri bana namna hiyo....yaaani unaadimika kuliko hata almasi.....usipotee kihivyo bana. Na Cuppy yupo tena alikuwa anakusalimia.....

Shem wee acha tuu...malezi si unajua tena! kwani Balant..hamjaonana hivi karibuni. Asante kwa salamu za cuppy na tuzidi kuwasiliana.
 
Mi nilimpata but hajajtambulisha kwangu cmfaham pia hanifahamu cjui ndo itakuaje natamani nimfham jitokeze km upo tayri
 
Mwiba bana!

Umetwaliwa "kitu" chako na JF Member amabaye mnafahamiana nini? Maana iyo "gear" uliyoingia nayo ina ashiria "WIVU":smile-big:
 
lazima watakuwepo mana watu walishaonana live unatarajia nn
ahh mweeeeeeeeeeee kumbe kuonana tu basi ..MAMBO KUSHNEI?
eeh jaman sasa wewe umekutana na wangap kwa umri uo?na wote ao mmenani?wamekuwa wachumba zako?
 
Etii :peep: wamo:caked:wanao nanihino ?? Au kunanihiliana ?? Yaani mnakutana kwa ufupi mmeanziaa hapa JF na kuendeleza huko nje kikamilifu ? kupependana mapenzi yaani natumai mmenielewa .

Wenda wewe ukawa ni mmja wao, yaani wewe utakuwa unajua halafu unauliza
 
Mimi nilishakutana na mwa jf kama nilivyo hadithia mwanzo alipita nyuma yangu akaona page imeandikwa jf akaniuliza wewe ni mtz??ndonikamwambia ndiyo akasema na yeye ni member wa jf hivyo kwa user name ya katerero yeyekwakuwa alikuwa mwenyeji wa hapo ROME ITALY akawa mwenyeji wangu zaidi niliandika kilichojili thread iliitwa VIVA JF TAFUTA UTAONA NINI KILIENDELEA.Namushukuru Katerero!
 
duuuh naona una hatari wewe hiyo VIVA JF mbona sikuiona hebu twambie nini kiliendelea
Kusutwa suna Kakakiiza:smile:
 
Hii mada naiangalia kwa machale sana... we mwiba sijui nani kakutuma kuja kupekenyua mambo humu?
 
Hii mada naiangalia kwa machale sana... we mwiba sijui nani kakutuma kuja kupekenyua mambo humu?

kwani vipi mkuu, unahisi kuwa atakuwa anagusa maslahi binafsi ya watu humu eeeeeeeeh!!!!!!!
 
NLIKUWA NAKUTAFUTA MANA NAONA PAGI YA 2 SASA SIJAMUONA ACID...NAJIULIZA YUWAAPI HUYU JAMAA KUMBE WACHUNGULIA HALAFU WALA KONA....:smile-big:HONGERA
Hii mada naiangalia kwa machale sana... we mwiba sijui nani kakutuma kuja kupekenyua mambo humu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom