Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
wakuu na wawezeshaji wote wa JF poleni na kazi na nawatakia kila la kheri na kazi .
nina wazo jipya sina uhakika kama litakuwa jipya kwa kila mtu , lakini nitajaribu kulielezea kwa kadri niwezavyo ili nieleweke vizuri.
hapa JF mnaweza kutengeneza zawadi mbalimbali in form of pictures..picha zenyewe ziwe nzuri na zenye mvuto .. let say maua,chocolate,nyumba nzuri,souvenir,vinywaji (pombe,whisky,vodka,juice etc) matunda mbalimbali, magari, etc ...hizi picha inabidi mzitengeneze kwa kiwangu kizuri sana ziwe na mvuto(3D even) zisiwe na saizi kubwa sana.
sasa basi mtu ili aweze kumtumia mwenzake moja ya zawadi kati ya hizi inabidi account ya profile yake iwe na pesa . na hizi zawadi mtakuwa mnaziuza kwa bei tofauti tofauti kutokana na uzuri wa zawadi yenyewe.inabidi muingie mkataba hata na makampuni ya simu ili mtu aweze ku activate au kuweka pesa kwenye salio lake kiurahisi au hata kwa kupitia benki.
kwa hiyo mtu akishatumiwa zawadi mojawapo kati ya hizi itakuwa inadisplay kwake. mtajua wenyewe mtakavyozi arrange ili ziwe na mvuto mzuri.
..........all the best.
......ni mawazo yangu tu .........mnaweza kuuliza maswali sehemu ambayo haijaeleweka