JF tuwe creative

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,377
58,384
wakuu na wawezeshaji wote wa JF poleni na kazi na nawatakia kila la kheri na kazi .

nina wazo jipya sina uhakika kama litakuwa jipya kwa kila mtu , lakini nitajaribu kulielezea kwa kadri niwezavyo ili nieleweke vizuri.

hapa JF mnaweza kutengeneza zawadi mbalimbali in form of pictures..picha zenyewe ziwe nzuri na zenye mvuto .. let say maua,chocolate,nyumba nzuri,souvenir,vinywaji (pombe,whisky,vodka,juice etc) matunda mbalimbali, magari, etc ...hizi picha inabidi mzitengeneze kwa kiwangu kizuri sana ziwe na mvuto(3D even) zisiwe na saizi kubwa sana.

sasa basi mtu ili aweze kumtumia mwenzake moja ya zawadi kati ya hizi inabidi account ya profile yake iwe na pesa . na hizi zawadi mtakuwa mnaziuza kwa bei tofauti tofauti kutokana na uzuri wa zawadi yenyewe.inabidi muingie mkataba hata na makampuni ya simu ili mtu aweze ku activate au kuweka pesa kwenye salio lake kiurahisi au hata kwa kupitia benki.

kwa hiyo mtu akishatumiwa zawadi mojawapo kati ya hizi itakuwa inadisplay kwake. mtajua wenyewe mtakavyozi arrange ili ziwe na mvuto mzuri.

..........all the best.

......ni mawazo yangu tu .........mnaweza kuuliza maswali sehemu ambayo haijaeleweka
 
Wazo zuri sana mie pia nimeona forum nyingi zenye hiyo kitu.binafsi nipo 50 kwa 50 maana nahofia inaweza ikafikia hatua mtu aki download kitu basi akatwe credit kidogo ziende kwa alie bandika bandiko.hivyo kuwafanya wasio na uwezo kuiona jf ni ya baadhi watu wenye uwezo. Mimi naona kama itawezekana hizo zawadi ziwekwe katika mfumo kama ule wa thenks kwamba ikitokea umekuwa na thnx nyingi basi unaweza kumgongea mwingine mean kama ulikuwa nazo 100 basi zinabaki 99.
 
upo right kabisa mkuu lakini nilichokuwa namaanisha hapa ni pamoaj na JF kupata kitu kidogo ili iendelee kujiendesha
 
wakuu na wawezeshaji wote wa JF poleni na kazi na nawatakia kila la kheri na kazi .

nina wazo jipya sina uhakika kama litakuwa jipya kwa kila mtu , lakini nitajaribu kulielezea kwa kadri niwezavyo ili nieleweke vizuri.

hapa JF mnaweza kutengeneza zawadi mbalimbali in form of pictures..picha zenyewe ziwe nzuri na zenye mvuto .. let say maua,chocolate,nyumba nzuri,souvenir,vinywaji (pombe,whisky,vodka,juice etc) matunda mbalimbali, magari, etc ...hizi picha inabidi mzitengeneze kwa kiwangu kizuri sana ziwe na mvuto(3D even) zisiwe na saizi kubwa sana.

sasa basi mtu ili aweze kumtumia mwenzake moja ya zawadi kati ya hizi inabidi account ya profile yake iwe na pesa . na hizi zawadi mtakuwa mnaziuza kwa bei tofauti tofauti kutokana na uzuri wa zawadi yenyewe.inabidi muingie mkataba hata na makampuni ya simu ili mtu aweze ku activate au kuweka pesa kwenye salio lake kiurahisi au hata kwa kupitia benki.

kwa hiyo mtu akishatumiwa zawadi mojawapo kati ya hizi itakuwa inadisplay kwake. mtajua wenyewe mtakavyozi arrange ili ziwe na mvuto mzuri.

..........all the best.

......ni mawazo yangu tu .........mnaweza kuuliza maswali sehemu ambayo haijaeleweka

nafikiri ni wazo zuri,lakini mods au wenye jf inabidi wafanye mabadiliko,
kwa mfano kutuma pesa jf kutumia western union au vitu kama hivyo ni unproffesional,nafikiri wanaweza kuwasiliana na bank kama barclyas au stanbic wakawatengenezea account ambayo mtu anaweza akatoa mchango wake kupitia visa card,
vilevile kwa ushauri wako inabidi member tuwe na acc ndani ya hiyo jf account,sijui kama inawezekana,
nafikiri kuna wataalam wa kibiashara wanaweza kuwasaidia,jf inaweza kuendeshwa kibiashara kama skype,yahoo messenger,nafikiri inawezekana.
 
mhh hii bussiness forum au jamii forum? Upande wangu naona kutokana na vipato vyetu na umaskini wetu na ujinga wetu bora ibaki hivi maana kuna kina kaka fulani na madada fulani watauza hadi vitu vyao ili wajifaharishe kwa kununua gift sa jf, muono wangu
 
Wazo zuri sana mie pia nimeona forum nyingi zenye hiyo kitu.binafsi nipo 50 kwa 50 maana nahofia inaweza ikafikia hatua mtu aki download kitu basi akatwe credit kidogo ziende kwa alie bandika bandiko.hivyo kuwafanya wasio na uwezo kuiona jf ni ya baadhi watu wenye uwezo. Mimi naona kama itawezekana hizo zawadi ziwekwe katika mfumo kama ule wa thenks kwamba ikitokea umekuwa na thnx nyingi basi unaweza kumgongea mwingine mean kama ulikuwa nazo 100 basi zinabaki 99.
Mkuu naomba japo link 1 kati ya hizo forums nikajione mwenyewe
 
mhh hii bussiness forum au jamii forum? Upande wangu naona kutokana na vipato vyetu na umaskini wetu na ujinga wetu bora ibaki hivi maana kuna kina kaka fulani na madada fulani watauza hadi vitu vyao ili wajifaharishe kwa kununua gift sa jf, muono wangu

hapo kwenye green naomba
utumie nafsi yako na si ya wote..
si kila mtu ana akili finyu ..
samahani sana...
 
mhh hii bussiness forum au jamii forum? Upande wangu naona kutokana na vipato vyetu na umaskini wetu na ujinga wetu bora ibaki hivi maana kuna kina kaka fulani na madada fulani watauza hadi vitu vyao ili wajifaharishe kwa kununua gift sa jf, muono wangu
zinatakiwa zisiwe zinauzwa bei kubwa ...let say kina max wanauza point or credits wataamua wenyewe watakavyoziita na mimi ili niweze kumtumia let say Afrodenz jift kama hiyo hapo chini lazima niwe na points/credit tano..na credit moja ili uwe nayo kwenye account yako lazima uinunue let say for tsh 50. so simple .....na hiki kizawadi kitakuwa kina display kwenye profile ya afro d.something like that.hawatakiwi wauze hizo points /credit kwa bei kubwa ndondondo si chururu
images
 
nafikiri ni wazo zuri,lakini mods au wenye jf inabidi wafanye mabadiliko,
kwa mfano kutuma pesa jf kutumia western union au vitu kama hivyo ni unproffesional,nafikiri wanaweza kuwasiliana na bank kama barclyas au stanbic wakawatengenezea account ambayo mtu anaweza akatoa mchango wake kupitia visa card,
vilevile kwa ushauri wako inabidi member tuwe na acc ndani ya hiyo jf account,sijui kama inawezekana,
nafikiri kuna wataalam wa kibiashara wanaweza kuwasaidia,jf inaweza kuendeshwa kibiashara kama skype,yahoo messenger,nafikiri inawezekana.
hapa sio lazima accouta yako ya JF uiweke pesa au iwe na pesa namaanisha kuwa wao wawe wanauza credits or points na ili uweze kutuma zawadi yoyote lazima ununue hizo ponts /credits kwa kina max/invisible nadhani hii ndio njia safe zaidi .
 
Siwezi kununua zawadi ya picha zamtandaoni....yani sioni sababu. SORRY!If someone is worth my money i‘ll buy something and send it to him/her.
 
Yaani mmeniacha kabisa to buy pictures how and for wat purpose yaani mmeniacha kabisa.
 
Hii kitu ipo facebook, unaweza kumnunulia mtu mwingine "zawadi" ambayo basically ni picha so birthday cake or beer or something. Mi naonaga ni upuuzi wa hali ya juu ila kuna watu wanapenda.

vUoUJ.jpg

Sahihisho: Ilikuwepo Facebook, naona wameifunga mwaka jana.
 
Siwezi kununua zawadi ya picha zamtandaoni....yani sioni sababu. SORRY!If someone is worth my money i‘ll buy something and send it to him/her.

Yaani mmeniacha kabisa to buy pictures how and for wat purpose yaani mmeniacha kabisa.
babu yangu kuna siku nilimwambia kuwa kuna nchi moja watu walitoa maji wakaweka mchanga9land reclamation) akacheka sana na akaniambia kuwa hao jamaa ni machizi sana na hawana la kufanya ...mimi mwenyewe siwezi kupoteza pesa yangu kununua kitimoto kwa sababu ni haramu but wat is this? sio kwamba kwa sababu mimi sipendi kitimoto na wengine hawakipendi .. nope
@detroit
 
mhh hii bussiness forum au jamii forum? Upande wangu naona kutokana na vipato vyetu na umaskini wetu na ujinga wetu bora ibaki hivi maana kuna kina kaka fulani na madada fulani watauza hadi vitu vyao ili wajifaharishe kwa kununua gift sa jf, muono wangu
tukubali changes bana hao watakao uza wameamua hivyo na outcomes zake zinajulikana so la muhimu nadhani tuangalie jambo hili linafanikiwa vipi.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom