JF tuwe creative

Siwezi kununua zawadi ya picha zamtandaoni....yani sioni sababu. SORRY!If someone is worth my money i‘ll buy something and send it to him/her.
kaa kimya watu wanatoa mawazo yao we ni niaje?
 
babu yangu kuna siku nilimwambia kuwa kuna nchi moja watu walitoa maji wakaweka mchanga9land reclamation) akacheka sana na akaniambia kuwa hao jamaa ni machizi sana na hawana la kufanya ...mimi mwenyewe siwezi kupoteza pesa yangu kununua kitimoto kwa sababu ni haramu but wat is this? sio kwamba kwa sababu mimi sipendi kitimoto na wengine hawakipendi .. nope@detroit
Ndio maana nimesema MIMI SIWEZI na sio wote wapinge!
 
ile thread ya watu wabishi sijui iko wapi..lizzy haya yalikuwa ni mawazo yangu tu sio lazima iwe hivyo.
Nashangaa bado hujataka kunielewa.Hamna sehemu niliyosema sio mawazo mazuri au umekosea.Nilichofanya ni kujisemea mimi binafsi sitotumia kwasababu sioni umuhimu wa kufanya hivyo.Hii haina maana kwamba kila mtu haimfai....unless ulitaka wanaounga mkono moja kwa moja tu ndo wachangie nadhani sijakosea chochote.Either way ...samahanini sana kama nimewakera na mchango wangu usiounga mkono hoja.
 
Nimesoma comment nne za hapo juu nikadhani niko jukwaa la chit chat. kumbe ni teknolojia .
 
Hili wazo ni zuri lakini inabidi kufanya utafiti zaidi, kwanza kwa nini Facebook wamefunga wakati wao ni waroho wa pesa kuliko JF?, pili jee hili jambo linaendana na utamaduni wetu? Yaani je Mtanzania anaweza kutoa fedha kununua picha ya chocolate au gari? Ikiwa software tunachakachua, je Picha ya gari? Nadhani tunahitaji kufanya utafiti ni vitu vya aina gani sisi tunaweza kununua, kwani unaweza kuanzisha kitu tukaishia kuwa na gharama kubwa kuliko mapato, ikaingia kitu inaitwa hasara, ambaye ni adui wa kwanza katika Biashara, inaua biashara kuliko ugonjwa mwingine wowote. Ni wazo tu.
 
.. Homens eu tenho a coisa por AfroDenzi,qualquer de aconselhamento?
Tenha calma e **** com ela.mas vamos voltar sobre a nossa tema (Jf tuwe creative)Santa Ivuga,porfavor tou a pedir so 1 endereço de portuguese ou as linguas k eu posso ler(se tu tens),para eu consiguir ver aquele que tas falando pk e uma boa ideia.obrigado mais outra vez.
 
tukubali changes bana hao watakao uza wameamua hivyo na outcomes zake zinajulikana so la muhimu nadhani tuangalie jambo hili linafanikiwa vipi.
au sio jombi. kama tukiona haitufai pia tutaomba waitoe.
 
Tenha calma e **** com ela.mas vamos voltar sobre a nossa tema (Jf tuwe creative)Santa Ivuga,porfavor tou a pedir so 1 endereço de portuguese ou as linguas k eu posso ler(se tu tens),para eu consiguir ver aquele que tas falando pk e uma boa ideia.obrigado mais outra vez.
i didn't know that! As i said the idea is awesome on paper but in real life,with all economic problems,i don't think so! But conglats to ivuga good idea though!
 
Tenha calma e **** com ela.mas vamos voltar sobre a nossa tema (Jf tuwe creative)Santa Ivuga,porfavor tou a pedir so 1 endereço de portuguese ou as linguas k eu posso ler(se tu tens),para eu consiguir ver aquele que tas falando pk e uma boa ideia.obrigado mais outra vez.
Eu agradeço-te meu amigo
 
Back
Top Bottom